HUYU MWENZIO KAJITAKIA.. hakufanya ufikiri kwanza kabla ya kujitapikia. hivi kweli siku 4 wewe unaweza kuibuka hadharani na kujitangazia eti umefika?? YAANI hata zile 7 za fungate hazijaisha tayari mtu kakurupuka!! hii ni shidda.. inawekezana kichenpati hakupata kama alipata huyo kungwi wake nae ni SHIDDA.Ha haa hebu muacheni monii wawatu huko...
umemuona mwenzio MONICCA alivoKURUPUKA? eti siku4 anatoka hadharani ''KAFIKA''Tulia wewe tafuta kamziko kako wapo wengi sana kitaaa
Siku zote jua LA asubuhi huwez sikia uchovuumemuona mwenzio MONICCA alivoKURUPUKA? eti siku4 anatoka hadharani ''KAFIKA''
LOH!!
WAKUPIMWA HUYU SIO BURE.
Kitchen party ilikua miaka ileee.... Sio sikukuuHUYU MWENZIO KAJITAKIA.. hakufanya ufikiri kwanza kabla ya kujitapikia. hivi kweli siku 4 wewe unaweza kuibuka hadharani na kujitangazia eti umefika?? YAANI hata zile 7 za fungate hazijaisha tayari mtu kakurupuka!! hii ni shidda.. inawekezana kichenpati hakupata kama alipata huyo kungwi wake nae ni SHIDDA.
Hahahaha humu ndani acha kabsa, ukiingia tu ni full kucheka.umemuona mwenzio MONICCA alivoKURUPUKA? eti siku4 anatoka hadharani ''KAFIKA''
LOH!!
WAKUPIMWA HUYU SIO BURE.
Huyu monii kama kazi anayo, na asivyojua kunyamazaHa haa hebu muacheni monii wawatu huko...
ValentinaHa haa hebu muacheni monii wawatu huko...
MambozValentina