Ndoa ya monicca inautesa moyo wangu

Ndoa ya monicca inautesa moyo wangu

nimekumbuka ule wimbo wa enzi hizo

Monica wanisumbuaaaa ayeee
Monica wanisumbua ayee yee yee
Watu watatu walikwenda
Huko mombasa kucheza chakacha kwanza harusi ya fatuma.
Singulawi mama singula wetu sisi sote twakupenda.
 
Zamani sana
Zamani mkuu
Vijana wa miaka Hii
Hawawezi kuijua hii
NIlitoka kwako juzi
Nikitaka kukusabahi
Mamio alinijibu hayupo katoka
Nikamuuliza kenda wapi
Akasema hajui vema
Nilipita vichochoroni nakuta wakunywa chang'aa
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
Chiruku kwa yako rangi iliniingia moyoni
Nikenda mbali sishibi nikuachapo pweke tunduni
Siku zapita sina usingizi sina furaha moyoni
Kwa nilivyo kuzoea kwa nilivyo kuzoea.
Duh waqt umekwenda sana ndugu yangu.
 
Kumbe wengi tuliumizwa na monii. Haya monii umeanzisha mjadala huku. Kuna ntu kaamua kuweka mambo hadharani. Kwa nini afwe na kigumiaaa. Tutakuchangia bro, angalao umpate weye. Mtoto mzurii halaf anajua kumsifia huyo mtu wake ka nini. Hata kumtosheleza hakuweza monii anakuja fasta atii kantosheleza. Waapi. Ungetoshelezwa ungekata nusu fungate. Fumbo mfumbie mjinga (Aliye mje ya jf) huku jf watafumbua tu. Weshafunbua.
 
NIlitoka kwako juzi
Nikitaka kukusabahi
Mamio alinijibu hayupo katoka
Nikamuuliza kenda wapi
Akasema hajui vema
Nilipita vichochoroni nakuta wakunywa chang'aa
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
Chiruku kwa yako rangi iliniingia moyoni
Nikenda mbali sishibi nikuachapo pweke tunduni
Siku zapita sina usingizi sina furaha moyoni
Kwa nilivyo kuzoea kwa nilivyo kuzoea.
Duh waqt umekwenda sana ndugu yangu.
Daaah kwel ndugu huu ulikuwa ni mziki mzuri sana
 
Mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa!
Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo kiwatenganishe lakini moyo wangu unaona bado kunafursa ya kumpata bibiye huyo.
Natanguliza ombi la kuwa mchepuko wako hii ni kutokana na shetani aliyeniingia ni zaidi ya yule aliyemrubuni "hawa".
Nakaribisha michango yenu murua yakuboresha uhusiano huu mpya
Unaweza kufanikiwa tayari ndao yao ina figusifigusi moniccca anadai anaunguzwa zile sehemu. Ikiwa wew utaweza kutumia mwanya huu vizuri umefanikiwa tayari
 
HUYU MWENZIO KAJITAKIA.. hakufanya ufikiri kwanza kabla ya kujitapikia. hivi kweli siku 4 wewe unaweza kuibuka hadharani na kujitangazia eti umefika?? YAANI hata zile 7 za fungate hazijaisha tayari mtu kakurupuka!! hii ni shidda.. inawekezana kichenpati hakupata kama alipata huyo kungwi wake nae ni SHIDDA.
Moniccca ametoa sigle nyingine mchana wa leo, kuwa anaunguzwa sana
 
Mon huyu huyu asiyejielewa au Mon mwingine? Kuna thread kasema shah...za aliyemuoa ni za moto sana, labda ndo wakati sasa wa wew kupeleka kafriji
 
NIlitoka kwako juzi
Nikitaka kukusabahi
Mamio alinijibu hayupo katoka
Nikamuuliza kenda wapi
Akasema hajui vema
Nilipita vichochoroni nakuta wakunywa chang'aa
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
Chiruku kwa yako rangi iliniingia moyoni
Nikenda mbali sishibi nikuachapo pweke tunduni
Siku zapita sina usingizi sina furaha moyoni
Kwa nilivyo kuzoea kwa nilivyo kuzoea.
Duh waqt umekwenda sana ndugu yangu.
Ooh Kina mama hoyaa....
 
Back
Top Bottom