T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Wengi walioko kitaa wako kama wewe mpaka uwe na pesa ndefu!!Tulia wewe tafuta kamziko kako wapo wengi sana kitaaa
Niko poa kabisa hakuna nomaMamboz poa tu valentina
Vipi wewe uko poa?
Vizuri sana kama hakuna noma mkuuNiko poa kabisa hakuna noma
Watu watatu walikwendanimekumbuka ule wimbo wa enzi hizo
Monica wanisumbuaaaa ayeee
Monica wanisumbua ayee yee yee
Zamani sanaWatu watatu walikwenda
Huko mombasa kucheza chakacha kwanza harusi ya fatuma.
Singulawi mama singula wetu sisi sote twakupenda.
NIlitoka kwako juziZamani sana
Zamani mkuu
Vijana wa miaka Hii
Hawawezi kuijua hii
Daaah kwel ndugu huu ulikuwa ni mziki mzuri sanaNIlitoka kwako juzi
Nikitaka kukusabahi
Mamio alinijibu hayupo katoka
Nikamuuliza kenda wapi
Akasema hajui vema
Nilipita vichochoroni nakuta wakunywa chang'aa
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
Chiruku kwa yako rangi iliniingia moyoni
Nikenda mbali sishibi nikuachapo pweke tunduni
Siku zapita sina usingizi sina furaha moyoni
Kwa nilivyo kuzoea kwa nilivyo kuzoea.
Duh waqt umekwenda sana ndugu yangu.
Unaweza kufanikiwa tayari ndao yao ina figusifigusi moniccca anadai anaunguzwa zile sehemu. Ikiwa wew utaweza kutumia mwanya huu vizuri umefanikiwa tayariMabibi na mabwana itifaki imezingatiwa!
Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo kiwatenganishe lakini moyo wangu unaona bado kunafursa ya kumpata bibiye huyo.
Natanguliza ombi la kuwa mchepuko wako hii ni kutokana na shetani aliyeniingia ni zaidi ya yule aliyemrubuni "hawa".
Nakaribisha michango yenu murua yakuboresha uhusiano huu mpya
Moniccca ametoa sigle nyingine mchana wa leo, kuwa anaunguzwa sanaHUYU MWENZIO KAJITAKIA.. hakufanya ufikiri kwanza kabla ya kujitapikia. hivi kweli siku 4 wewe unaweza kuibuka hadharani na kujitangazia eti umefika?? YAANI hata zile 7 za fungate hazijaisha tayari mtu kakurupuka!! hii ni shidda.. inawekezana kichenpati hakupata kama alipata huyo kungwi wake nae ni SHIDDA.
'tukatike....sisi wote ....tukatike....Watu watatu walikwenda
Huko mombasa kucheza chakacha kwanza harusi ya fatuma.
Singulawi mama singula wetu sisi sote twakupenda.
Hivyo vibao vilikuwa murua sanaaa'tukatike....sisi wote ....tukatike....
Akaimbe na mumewe gebweMoniccca ametoa sigle nyingine mchana wa leo, kuwa anaunguzwa sana
Huyu anaumwaAseee piga goti uombewe haraka mkuu.
Hafu umenichunia ujue weweHa haa hebu muacheni monii wawatu huko...
Unansingizia[emoji17]Hafu umenichunia ujue wewe
Wee hayaUnansingizia[emoji17]
Ooh Kina mama hoyaa....NIlitoka kwako juzi
Nikitaka kukusabahi
Mamio alinijibu hayupo katoka
Nikamuuliza kenda wapi
Akasema hajui vema
Nilipita vichochoroni nakuta wakunywa chang'aa
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
Chiruku kwa yako rangi iliniingia moyoni
Nikenda mbali sishibi nikuachapo pweke tunduni
Siku zapita sina usingizi sina furaha moyoni
Kwa nilivyo kuzoea kwa nilivyo kuzoea.
Duh waqt umekwenda sana ndugu yangu.