Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

Majasho

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
413
Reaction score
220
Mnakumbuka story ya Raia Mwema

- Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu

Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu.

Doreen aliolewa April 2012, ndoaya kikatiki na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata watoto wawili. Cheti cha ndoa kipo hapo chini na kimesajiliwa RITA

Doreen na Fredrick Mushi Hawakupata divorce na kama tujuhavyo ndoa za KATOLIKI ni mpaka kifo kitenganishe.

Aliulizwa aliwahi kuolewa na majibu hapo chini ndio aliyatoa.



Aliolewa tena na Mrema kwa jina la uongo ili asiwekewe pingamizi na ndio kama mnakumbuka zile hekaheka za kuweka watu wa uongo kujifanya Doreen na kuvaa Miwani kama jambazi siku ya harusi na Mrema.

In summary Doreen
  • Kwa ndoa yake na Mrema alitumia jina kabisa lingine la uongo Doris Mkandala.
  • Uamihaji na Magereza aliforge vyeti alikuwa anajiita Doreen Mkandala na alitumbuliwa kwa vyeti feki kipindi cha Magufuli.
  • Ndoa ya kwanza alitumia Doreen Kimbi ambalo ndio linajulikana kila sehemu.
  • Na pia kuna tetesi alishawahi kuolewa tena huko Mbeya
Huyu Doreen asije akawa kwenye kigroup cha organised criminals, police wachunguze huyu mtu.

Kanisa katoliki itabidi liwajibike ni aibu kubwa. Police waingilie kati wajue huyu Doreen ni nani has before hajatafuta next victim.


IMG-20220910-WA0000.jpg
IMG-20220917-WA0000.jpg
 
Kazi imeanza.

Mirathi za wazee zinazua balaa.. ya Mengi haijaisha imeibuka ya Mrema..

Ila ukisoma hoja ya mchangiaji hapa chini utapata majibu

Mleta mada Umeandika upuuzi mtupu. Anyway kila mtu ana stahili yake ya kufunga ndoa. Kuna mtu anapenda akifunga ndoa amwalike kila mtu aidha kwa ajili ya kupata michango au kujinyanyua ili ionekane kuwa harusi yake ilikuwa babkubwa kwa kuhudhuriwa na watu wengi nk.

Kuna mungine haswa hawa watu wazima ambao walikuwa washafunga ndoa hapo kabla, wengi wao huwa hawapendi ndoa za mbwembwe kutokana na umri lkn pia haoni sababu ya kila mtu kumtangazia ndoa ilihali ndoa yake ya kwanza na ya ujana ilifana sana.

Tuje kwa Mrema na mkewe, anyway inawezekana ndoa yake ilikuwa ya siri kama unavyosema lkn je Mrema alipoanza kuzunguka na mkewe kwenda Dodoma kuonana na mh raisi huyo mumewe hakumuona? Mrema alipoenda kula honeymoon na mkewe huko mbugani mikumi na sehem nyingine za nchi mumewe hakumuona? Waandishi mbali mbali wa habari walipokuwa wanamtembelea Mrema na mkewe na sometimes kukutana nae na kumhoji maeneo mbali mbali ya nchi mumewe hakumuona?

Mimi simjui Doreen na pia nipo nje ya Tanzania, lkn taarifa zote napata, iweje yeye mumewe akose taarifa za mkewe hadi baada ya mumewe (Mrema) kufariki?
Hapa kuna mchezo umepangwa lkn kwa bahati nzuri wengi wetu tunauelewa mpana wa maswala hayo ndo maana imekuwa ngumu kutumezesha propaganda zenu.
 
Awe bandia asiwe bandia ye ndo amekaa na yule mzee wakat hawez hata kujitawaza
Kama mngekuwa na uchungu mngeolewa nyie

Unajua wakat mwingine tuthamin watu wanaokaa na wazee wetu kwenye siku zao za mwisho hamjui wanapitia magumu kias gan
 
Ungeweka picha ya huyo Doreen Kimbi ingesaidia zaidi. Na mwisho wa siku kilichomuhimu ni kuwa alimtunza mume wako mpaka umauti ulipomkuta. Kama mna ushahidi kuwa alikuwa anamtesa mngempeleka mahakamani wakati mume wake yuko hai.

Amandla...

Una huhakika gani alimtunza vizuri au ndio alivyokuwa anajiweka kwenye media na mnaamini?

Doreen alikuwa moshi kila siku tunakutana nae. sasa swali mzee huyo nani alikuwa anamwangalia?

Na unajua kuna clips na videos za mzee Mrema anasema kwa ndugu zake analalamika alikosea kuoa?
 
Mtu kaolewa huko nyuma wakashindwana bado ni mke wa mtu tu kisa hawajatengana mahakamani???? Hapana hii sio sawa umeoa mtu mmeshindwana mnaachana ndoa sio vita.isije mkaja kuuana bure kisa tu mpaka kifo kiwatenganishe.muacheni doris wa watu mpeni hiyo mirathi.mbona kipindi mrema yupo hai hamkusema kama ni mke wa mtu mwingine.Acheni tamaaa familia ya marehemu
 
Back
Top Bottom