Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Hili nalo ni tatizo kwenye ndoa nyingi, sema na hawa ma star hawapendi kuzaa japo wanapenda kuolewa,
Angalia shilole, riyama, uwoya, sister fey hawa wote waliolewa kwa ndoa lakini waligoma kuzaa. Siamini kama wote ni uzazi.
Kwa michezo yao ni vigumu sana kupata mimba mkuu
 
Mwanaume ana sura ngumu kama mchoma mahindi,sijui kapenda nn hapa
unataka awe na sura laini laini sio!!? sifa ya mwanaume ni sura ngumu na pesa huo ndo uanaume.sasa akiwa na sura laini tutashindwa kutofautisha maana wote mtaonekana wanawake tu
 
Ila jamaa ana Sura ya "Hustling" kakosea tu kuingia kwenye anga za "Kibongo muvi"....

Angalizo: Naomba muiache hiyo "Pua" ya mzee baba ni "mbantu" mwenzenu huyo bila shaka physical features za Wabantu mwazijua vyema.
Sura ngumu bado unataka kulelewa?
 
we kweli babu kijana.ngoja nitafute hizo jeans za diesel na t shirt za marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…