Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi


Hii notion ya kutoa gundu ndio inanishangazaga Sana....hivi kuachana sio gundu??
 
Dhuuu
 
Wazee wetu wa zamani ni tofauti kabisa na hawa vijana wa kileo.... Hawajui nini maana ya privacy... Kila kitu mitandaoni... Kuna mahali tutafika mtu akienda kukata gogo atapost
lazima ukubaliane na mabadiliko ya wakati chief. Privacy ilikuwa wakati wenu. Unachokiona ndicho cha wakati huu . Ishi kilingana na wakati. Usilazimishe wala kushindana na wakati utaaibika mzee wa mitishamba.
 
Wasanii wa Tz ujanja ujanja mwingi
Sidhani kama kuna msanii yeyote hasa wa bongo movies kama amewahi kudumu kwenye ndoa mpaka kifo kiwatenganishe. Binafsi nishawazoea. Kesho na kesho kutwa utasikia kaolewa na Dogo janja halafu baada ya siku 19 utasikia wameachana!
 
Hili nalo ni tatizo kwenye ndoa nyingi, sema na hawa ma star hawapendi kuzaa japo wanapenda kuolewa,
Angalia shilole, riyama, uwoya, sister fey hawa wote waliolewa kwa ndoa lakini waligoma kuzaa. Siamini kama wote ni uzazi.
Hivi Riyama hajazaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…