Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Hii ndoa imemrudisha nyuma sana Shamsa Ford kikazi. She was doing very well with her career na alikuwa na kiu ya kweli ya kufika mbali lakini tangu aolewe naona akawa doro.
Kwa sasa vile yuko huru, afocus tu kwenye kazi yake na aende mbele kwa mbele. Kwanza ni motivation nzuri kwake ya kukimbia kwa spidi zote vile now she calls the shots all by herself once again.
All the best kwake. Muhimu ameshatoa gundu.

Hii notion ya kutoa gundu ndio inanishangazaga Sana....hivi kuachana sio gundu??
 
[emoji38][emoji38] uongo hapo ni upi? Kuna sehemu nimesema duka lilikuwa la Shamsha? Gari ni matunda ya bongo movie ya dada wa watu. Walokuwa wanajua duka la mwanzo la chid kabla halijafungwa then likahamishwa nahic wataelewa ninavyosema shamsha alikuta chid kashaanza kufulia btw mda mwingi Chid anakuwa china kutembeza wafanyabiashara akilipwa ndo alikuwa anatuma mzigo kiasi ili duka lisiwe empty
Dhuuu
 
Wazee wetu wa zamani ni tofauti kabisa na hawa vijana wa kileo.... Hawajui nini maana ya privacy... Kila kitu mitandaoni... Kuna mahali tutafika mtu akienda kukata gogo atapost
lazima ukubaliane na mabadiliko ya wakati chief. Privacy ilikuwa wakati wenu. Unachokiona ndicho cha wakati huu . Ishi kilingana na wakati. Usilazimishe wala kushindana na wakati utaaibika mzee wa mitishamba.
 
Wasanii wa Tz ujanja ujanja mwingi
Sidhani kama kuna msanii yeyote hasa wa bongo movies kama amewahi kudumu kwenye ndoa mpaka kifo kiwatenganishe. Binafsi nishawazoea. Kesho na kesho kutwa utasikia kaolewa na Dogo janja halafu baada ya siku 19 utasikia wameachana!
 
Hili nalo ni tatizo kwenye ndoa nyingi, sema na hawa ma star hawapendi kuzaa japo wanapenda kuolewa,
Angalia shilole, riyama, uwoya, sister fey hawa wote waliolewa kwa ndoa lakini waligoma kuzaa. Siamini kama wote ni uzazi.
Hivi Riyama hajazaa?
 
Back
Top Bottom