Usiseme wote maana wengine unatutukana!Ndio wanaume wa sasa walivyo wotee.
Walioamua kuishi kama watu wa kawaida maisha yanasonga freshi tu. Ila hawa walioamua kuishi kwenye spotlight kistaa ndio mabalaa hayawaachagi salama. Anyways most of the times wanawake wanachemkaga kwenye choices. Sijui ni tamaa ama nini ila i find that beautiful girls aren't good at making choices. Kwa jinsi huyu dada alivyo na urembo wa asili na committment angetulia kidogo she would have gotten a matured man baada ya Ney but seems alirubuniwa na huyu Chid Mapua akaondoka kwa Mbwembwe just to prove to Ney kuwa still analipa ila after all that being said, she has become too out of shape now kama ngamia flani 😂😂😂😂😂 halafu ndio ka divorce tena...atauweka sana!!!Wapo wengi tu kina Swebe Santana mpaka Leo yuku ktk ndoa
Likes za akina prof jize, black, mr.paul, Rama dee, Fa, Ay na wengineo watakuwa mifano mizuri. Anyways, sijui shida iko wapi kwa hawa wasanii kutafuta watu wa kawaida tu ambao wataheshimiana wakaweka mambo yao kimya kimya. Ni swala la hekima tu. Binafsi namsifu sana Ally Kiba japo nae shule hafifuChunguza, wasanii wenye Elimu na walio oa au kuolewa ndoa zao za muda mrefu. Kinyume chake ni wasanii wasio na Elimu, wameoa au kuolewa kawaida ndoa zao ni za muda mfupi
Jamaa ana pua kubwa utafikiriNdio wakina nani hawa mnao wajadili kwani...!!??
Maana minaona pua kubwa tu hapo..teh!
Duuuh Wabongo Shikamoni.....Mmepewa Heading tu Taarifa mnaandika wenyewe hahahaha.
Sepenga alikuwa anaelekea huko aisee bahati nzuri kaanza kukua kidogo siku hizi.Wazee wetu wa zamani ni tofauti kabisa na hawa vijana wa kileo.... Hawajui nini maana ya privacy... Kila kitu mitandaoni... Kuna mahali tutafika mtu akienda kukata gogo atapost
Ila jamaa ana Sura ya "Hustling" kakosea tu kuingia kwenye anga za "Kibongo muvi"....Ndoa ya Muigizaji wa Bongo movies Shamsaford na Chidd Mapenzi imeingia doa, kisa na Mkasa Bado Hakijawekwa Wazi..
Chanzo cha habari Shamsa mwenyewe kama inavyoonekana pichaniView attachment 1099297
Hapa akimjibu shabiki wakeView attachment 1099302
Anafanya kaz gani uyo feyHivi sister fey ni star? Hapana buana huyu kila siku tunapishana nae kisalawe
Matunda ya bongo movie sio lazima iwe ni copy alizogonga kwa muhindi mkuu.. Hata umaarufu aloupata kupitia huko ni moja ya matunda.Bongo movie gani inampa mtu gari? Hii ya kumuuzia muhindi movie kwa 2M!!????? Hamuwezi kuwa serious.
Kenge na kenge hawezi dumuHivi ukiwa star lazima uolewe na star?mi nadhani hapa ndio tatizo linapoanzia...
[emoji2][emoji2] kamchuna kwa lipi?Huyo chid alimjengea yapo room moja(jibu ni hapana)aliesababisha afulie ni shamsa amemchuna sana chidi , nani kakudanganya alikuwa anatembeza wafanyabiashara china,?
Suala la kusomana ni suala endelevu ndio maana unaona watu wanashindwana ikiwa tayari wako ndani ya ndoa. Hauwezi kujua kila kitu kinachomuhusu mtu kwa haya mahusiano ya kawaida tu. Kwanza wengi hufekisha ili kutimiza lengo, baada ya hapo ndio mtu anaanza kuwa real then unarealize hauwezi kuvumilia mapungufu hayo.Nakubaliana na wewe.
Lakini sidhani kama muda wa kukaa na kumsoma mwanaume ni baada ya kuingia kwenye ndoa.
Namaanisha unatakiwa umjue mwanaume wako kabla haujaridhia kuingia naye kwenye maisha ya ndoa.
Kwa sababu kuolewa na kuachika /au kuacha mara kwa mara nayo siyo sifa nzuri .
Let's assume alikuwa anacheki mwelekeo wa upepo..basi hii inaweza kuwa pia sababu ya mwanaume kucheat na kuruka ruka, kwa sababu haiwezekani hautaki kunizalia miaka na miaka unanichunguza tuu.
Ndoa nyingi zinadumu kwa ajili wa watoto, baba anaona kuliko akachit akaleta maradhi ndani mtoto abaki yatima au aachane na mama wa mtoto bora aache.
Unless hana uwezo wa kuzaa.
Like you read my mind.Do you actually think you will learn everything about a man before you get married to him?
Haupo serious.
Pole sana, nimeolewa na mtoto wangu wa mwisho ndiyo ana miezi kadhaa.Ukute hujaolewa bado alafu unaandika haya maneno, Mungu akupe unachostahili