Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Mwanaume ana sura ngumu kama mchoma mahindi,sijui kapenda nn hapa
Hilo jina tu huyu wa kukamata vinuka mkojo tu,siku nilikatiza pale kwa duka lake Meridian nikamkuta,ufala mwingi sana "ooh karibu kaka kwa chid mapenzi,nikamuuliza unataka utobolewe?aah amna bro sema tu pamba tunazo.akiangalia nilikua nimepiga diesel jeans ngumu,Abercrombie t shirt,chini nna adidas nba sign.vyote bongo hupati akanywea.
Sema nikachukua nguo kadhaa za kubadili maana kurudi hm soo.
Sasa Huyo ndio shamsa kamfanya mume.
 
Hata angezaa people would still find fault why amezaa.

Am speaking as a woman, huenda anapoingia ndani ya ndoa her intuition spoke to her to chill out na asikimbilie kuzaa. Either that or simply hakushika ujauzito.

Wanasemaga once bitten, twice shy. Picture being single again, stuck with another child.
Hivi ukiandika lugha moja unakuwa hauelewei?
 
Wanaume wanaongelea sura ya mwanaume mwenzao kuwa ngumu uchuro huu, Chiddi hana tatizo na mtu bhana ila kipindi hiki kwa wajanja wajanja wa mjini muda mwingi mtu anakuwa na stress ndoa I naweza kuota mbawa usipokuwa makini
 
Ni kweli kabisa, kabla ya ndoa weng hujifanya wema
Suala la kusomana ni suala endelevu ndio maana unaona watu wanashindwana ikiwa tayari wako ndani ya ndoa. Hauwezi kujua kila kitu kinachomuhusu mtu kwa haya mahusiano ya kawaida tu. Kwanza wengi hufekisha ili kutimiza lengo, baada ya hapo ndio mtu anaanza kuwa real then unarealize hauwezi kuvumilia mapungufu hayo.
 
Huyu Chidi namfananishaga na Uchebe.......sijui ndo nazeeka!!
Pole mwaya Shamsa/Rashid............. maisha lazima yasonge.
 
Mi tangu nimeoa washkaji wananimiss kwenye vikao vya bia. Najikaza kisabuni tu na kiu yangu, maana nikipaga bia tu Mama Gaude anadai nimelewa. Mlio single bora muenjoy sasa hivi, mkiingia huku ujue mshatekwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
 
Mi tangu nimeoa washkaji wananimiss kwenye vikao vya bia. Najikaza kisabuni tu na kiu yangu, maana nikipaga bia tu Mama Gaude anadai nimelewa. Mlio single bora muenjoy sasa hivi, mkiingia huku ujue mshatekwa.

Hahhaah kuna rafiki yangu namwelezaga haya maneno..namwambia fanya starehe muda ndo huu ukishaingia ndoani ndo nitolee...chaa
 
Back
Top Bottom