Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

acha uongo duka la nguo lilikuwa la chidi.,, shamsa alinunuliwa na gari kabisa, asingekubali kuolewa na mwanaume hana hela
[emoji38][emoji38] uongo hapo ni upi? Kuna sehemu nimesema duka lilikuwa la Shamsha? Gari ni matunda ya bongo movie ya dada wa watu. Walokuwa wanajua duka la mwanzo la chid kabla halijafungwa then likahamishwa nahic wataelewa ninavyosema shamsha alikuta chid kashaanza kufulia btw mda mwingi Chid anakuwa china kutembeza wafanyabiashara akilipwa ndo alikuwa anatuma mzigo kiasi ili duka lisiwe empty
 
Hata angezaa people would still find fault why amezaa.

Am speaking as a woman, huenda anapoingia ndani ya ndoa her intuition spoke to her to chill out na asikimbilie kuzaa. Either that or simply hakushika ujauzito.

Wanasemaga once bitten, twice shy. Picture being single again, stuck with another child.
Nakubaliana na wewe.

Lakini sidhani kama muda wa kukaa na kumsoma mwanaume ni baada ya kuingia kwenye ndoa.
Namaanisha unatakiwa umjue mwanaume wako kabla haujaridhia kuingia naye kwenye maisha ya ndoa.

Kwa sababu kuolewa na kuachika /au kuacha mara kwa mara nayo siyo sifa nzuri .

Let's assume alikuwa anacheki mwelekeo wa upepo..basi hii inaweza kuwa pia sababu ya mwanaume kucheat na kuruka ruka, kwa sababu haiwezekani hautaki kunizalia miaka na miaka unanichunguza tuu.

Ndoa nyingi zinadumu kwa ajili wa watoto, baba anaona kuliko akachit akaleta maradhi ndani mtoto abaki yatima au aachane na mama wa mtoto bora aache.

Unless hana uwezo wa kuzaa.
 
[emoji38][emoji38] uongo hapo ni upi? Kuna sehemu nimesema duka lilikuwa la Shamsha? Gari ni matunda ya bongo movie ya dada wa watu. Walokuwa wanajua duka la mwanzo la chid kabla halijafungwa then likahamishwa nahic wataelewa ninavyosema shamsha alikuta chid kashaanza kufulia btw mda mwingi Chid anakuwa china kutembeza wafanyabiashara akilipwa ndo alikuwa anatuma mzigo kiasi ili duka lisiwe empty
aliesababisha afulie ni shamsa amemchuna sana chidi , nani kakudanganya alikuwa anatembeza wafanyabiashara china,?
 
Hili nalo ni tatizo kwenye ndoa nyingi, sema na hawa ma star hawapendi kuzaa japo wanapenda kuolewa,
Angalia shilole, riyama, uwoya, sister fey hawa wote waliolewa kwa ndoa lakini waligoma kuzaa. Siamini kama wote ni uzazi.
Hivi sister fey ni star? Hapana buana huyu kila siku tunapishana nae kisalawe
 
Ndoa ya Muigizaji wa Bongo movies Shamsaford na Chidd Mapenzi imeingia doa, kisa na Mkasa Bado Hakijawekwa Wazi..

Chanzo cha habari Shamsa mwenyewe kama inavyoonekana pichaniView attachment 1099297

Hapa akimjibu shabiki wakeView attachment 1099302
Wazee wetu wa zamani ni tofauti kabisa na hawa vijana wa kileo.... Hawajui nini maana ya privacy... Kila kitu mitandaoni... Kuna mahali tutafika mtu akienda kukata gogo atapost
 
Siku chache baada ya ndoa bibie alisema kaolewa sababu kamuonea huruma jamaa kisa alimchuna vitu vingi

Vijana wa leo hawana mafunzo ya ndoa
Wazee wetu wa zamani ni tofauti kabisa na hawa vijana wa kileo.... Hawajui nini maana ya privacy... Kila kitu mitandaoni... Kuna mahali tutafika mtu akienda kukata gogo atapost
 
Back
Top Bottom