Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.