Ndoa ya mtangazaji mkongwe Betty Mkwasa na Charles Boniface Mkwasa “Master” yafikisha miaka 35, wapo imara na wanasonga mbele

Ndoa ya mtangazaji mkongwe Betty Mkwasa na Charles Boniface Mkwasa “Master” yafikisha miaka 35, wapo imara na wanasonga mbele

MMwanza Arizona mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.

Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.

Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Wazazi wangu walianza kuishi pamoja mwaka 74, na wamefunga ndoa mwaka 2018 je Wana miaka mingapi kwenye ndoa?
 
Back
Top Bottom