Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Kwakweli Ila mambo ya ndoa wakati mwingine inabidi ujifanye huoni userious sana unakufa wallahStyle moja ya kufanya ,sio habari style za uswahili Mara kuku kabiringika ,Mara chuma mboga lazima mchokane haraka .
Ni mwendo wa kifo Cha mende busu ni anasa
Alimvumilia sana na uhuni wake BettyKwanini yeye ndiyo mjinga?
Ahahahah.Mbona hueleweki mkuu,inatakiwa mmoja awe mjinga au ajifanye kuwa mjinga?
Duh,basi sawaAlimvumilia sana na uhuni wake Betty
Wazazi wangu walianza kuishi pamoja mwaka 74, na wamefunga ndoa mwaka 2018 je Wana miaka mingapi kwenye ndoa?MMwanza Arizona mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Wana miaka 44 ya mahusiano na 6 ya ndoaWazazi wangu walianza kuishi pamoja mwaka 74, na wamefunga ndoa mwaka 2018 je Wana miaka mingapi kwenye ndoa?
Watupe Siri ya mafanikio
Trust issue ni nn mzee wangu?Siri kubwa ni kukubali kushikiwa wallet ndio maana sisi watu wenye trust issue mapenzi hatuyawezi.
Trust issue ni nn mzee wangu?
Wewe ni muislam, maana muislam kwa wali tu ama kitu pilau hata kumtupia mtu majini ili afe akale pilau haoni hasara.Uncle,sherehe yao nilihudhuria.
Tulitoroka bwenini kufuata pilau