Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ndoa iliokuwa ifanyike kati ya msanii Walper na mwenzie Sanga, imeingia matatizoni baada yawazazi wa bwanaharusi mtarajiwa wamekataa mtoto wao kumuoa Walper wakiamini atamsumbua mtoto wao hata hivyo inaonekana kunapepo la Wasanii kutofunga ndoa.
Limeanza na Diamond vs Wema,Shiloree vs Mziwanda hawa wameanza nakupigana sasa dada yetu Walper ni vyema mkaja kanisani kwa Gwajima Tangayika Packers akawakemea hili pepo lakutotaka kuolewa wasanii wetuu tufyeke kabisa nguvu zote za giza juu yenu.