Ndoa ya muigizaji Wolper yasitishwa

Ndoa ya muigizaji Wolper yasitishwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndoa iliokuwa ifanyike kati ya msanii Walper na mwenzie Sanga, imeingia matatizoni baada yawazazi wa bwanaharusi mtarajiwa wamekataa mtoto wao kumuoa Walper wakiamini atamsumbua mtoto wao hata hivyo inaonekana kunapepo la Wasanii kutofunga ndoa.

Limeanza na Diamond vs Wema,Shiloree vs Mziwanda hawa wameanza nakupigana sasa dada yetu Walper ni vyema mkaja kanisani kwa Gwajima Tangayika Packers akawakemea hili pepo lakutotaka kuolewa wasanii wetuu tufyeke kabisa nguvu zote za giza juu yenu.
 
Weraaaaweraaaa. Naaona mmeanzisha topicyenu mnapeanamoyo weraaweraaaaaa amkenitukàsukume gurudmu lalatifa
 
Ndoa iliokuwa ifanyike kati yamsani walper na mwenzie sanga,m imeingia matatizon,wazazi wa bwanaharusi mtarajiwa wamegoma mtotowao kumuoa bibie walper wakiamini atamsumbua mtoto wao,,hata hivyo inaonekana kunapepo la wasannii kutofunga ndoa,,limeanza na diamond vs wema,,shiloree vs nziwanda hawawameanza nakupigana,,sasa dadayetu walper,,vyema mkaja kanisani kwa gwajima tangayika packers wwkakemea hili pepo lakutotaka kuolewa wasanii wetuu tufyeke kabisa nguvu zote za giza juuyenu

BigiBlaZa GwaJimA nDo sUluHiSho HaPo hAkunA cHa ZiaDa.
 
Ndoa iliokuwa ifanyike kati ya msanii Walper na mwenzie Sanga, imeingia matatizoni baada yawazazi wa bwanaharusi mtarajiwa wamekataa mtoto wao kumuoa Walper wakiamini atamsumbua mtoto wao hata hivyo inaonekana kunapepo la Wasanii kutofunga ndoa.

Limeanza na Diamond vs Wema,Shiloree vs Mziwanda hawa wameanza nakupigana sasa dada yetu Walper ni vyema mkaja kanisani kwa Gwajima Tangayika Packers akawakemea hili pepo lakutotaka kuolewa wasanii wetuu tufyeke kabisa nguvu zote za giza juu yenu.

Kaz kwelikweli. Eti Walper, acha hizo bwana Sean Jonh Combs( PDiddy)!
 
pdidy anavyoongea ndivyo anavyoandika......walau siku hizi kuna maboresho
 
Sijaona geni kwa hawa mnaowaita celebrity wa bongo kuakhirisha ni jambo la kawaida coz huwa hawachelewi kutuongopea
 
Back
Top Bottom