pdidy na wewe ufyeke pepo linaloshika vidole vyako....
pdidy na wewe ufyeke pepo linaloshika vidole vyako....
pdidy na wewe ufyeke pepo linaloshika vidole vyako....
pdidy na wewe ufyeke pepo linaloshika vidole vyako....
kibodi yako tu mkuu...😀
Ndoa iliokuwa ifanyike kati yamsani walper na mwenzie sanga,m imeingia matatizon,wazazi wa bwanaharusi mtarajiwa wamegoma mtotowao kumuoa bibie walper wakiamini atamsumbua mtoto wao,,hata hivyo inaonekana kunapepo la wasannii kutofunga ndoa,,limeanza na diamond vs wema,,shiloree vs nziwanda hawawameanza nakupigana,,sasa dadayetu walper,,vyema mkaja kanisani kwa gwajima tangayika packers wwkakemea hili pepo lakutotaka kuolewa wasanii wetuu tufyeke kabisa nguvu zote za giza juuyenu
Atakuwa anatype kwa vidole vya miguu!
pdidy na wewe ufyeke pepo linaloshika vidole vyako....
BigiBlaZa GwaJimA nDo sUluHiSho HaPo hAkunA cHa ZiaDa.
Ndoa iliokuwa ifanyike kati ya msanii Walper na mwenzie Sanga, imeingia matatizoni baada yawazazi wa bwanaharusi mtarajiwa wamekataa mtoto wao kumuoa Walper wakiamini atamsumbua mtoto wao hata hivyo inaonekana kunapepo la Wasanii kutofunga ndoa.
Limeanza na Diamond vs Wema,Shiloree vs Mziwanda hawa wameanza nakupigana sasa dada yetu Walper ni vyema mkaja kanisani kwa Gwajima Tangayika Packers akawakemea hili pepo lakutotaka kuolewa wasanii wetuu tufyeke kabisa nguvu zote za giza juu yenu.