Ndoa ya Nuh Mziwanda na Shilole Ipo Mbioni

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700


Baada ya kumvisha pete mchumba wake Shilole siku ya birthday yake,msanii Nuh Mziwanda amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa atamuoa mchumba wake huyo.


''Kumvisha pete mchumba wangu ni hatua kubwa na mama yangu alianiambia nikimvisha pete mchumba wangu nisikae muda mrefu na nifunge naye ndoa kwahiyo nafuata ushauri wa mama na nitamuoa Shishi muda si mrefu,'' alisema Nuh Mziwanda.
 
Haya mbona hawa hamuwaandami
mnamuandama zari tuuuu?!!
 
Vidole vina sugu chezea kupenda rangi ya mtumeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…