Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700

Baada ya kumvisha pete mchumba wake Shilole siku ya birthday yake,msanii Nuh Mziwanda amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa atamuoa mchumba wake huyo.
''Kumvisha pete mchumba wangu ni hatua kubwa na mama yangu alianiambia nikimvisha pete mchumba wangu nisikae muda mrefu na nifunge naye ndoa kwahiyo nafuata ushauri wa mama na nitamuoa Shishi muda si mrefu,'' alisema Nuh Mziwanda.