Ndoa Ya Nuh Mziwanda Yavunjika Rasmi

Ndoa Ya Nuh Mziwanda Yavunjika Rasmi

.... Nuhu hela ya kutunza familia anaitoa wapi!??

Akaombe msamaha kwa ShiShi tu..
 
Nuhu ana gubu sana, kama mara tatu hivi nimeshakaa sehemu tofauti wakiwepo wote wawili namna alivyokuwa anamtreat huyu mwanamke haikuwa sawa kabisa sema demu alikuwa anataka tuu umaarufu
 
f8a6427a2567deceb2d96465d1cd336c.jpg

Ndoa ya nuhu mziwanda hata ijamaliza mwaka 1na nusu. ....Mwanamke kakengeuka na kuenda kuolewa sehem nyingine .
Wanawake wamerogwa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wote tumerogwa ujue

Me nahisi itakua kiki tu

Madame S
 
Mdada mmoja kakengeuka halafu unasema Wanawake sumu.

Mara Wanawake Wamekengeuka.

Kwanini unageneralise wanawake wote?
 
Back
Top Bottom