titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Alafu wananchi wanaipenda royal familyUsurious ni kuwa walipa kodi ea huduma zote za muhimu afya, elimu, nyumba, barabara na pesavya kula mengine wamewaachia tu royals
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wananchi wanaipenda royal familyUsurious ni kuwa walipa kodi ea huduma zote za muhimu afya, elimu, nyumba, barabara na pesavya kula mengine wamewaachia tu royals
So wote wako rebellions lakini wengi wanaona ni pride ya nchiAlafu wananchi waniependa royal family
Huu utaratibu wa kijinga sana kupeana umasikini. Na zamani haukuwepo, umeanza siku za hivi karinuni. 2000 kuja mbele ndio umeshamiri sana.Wazungu hawana utaratibu huo
Unachangia harusi laki mbili ambayo ungeilipia tuition ingemsaidia mwanao kufaulu mitihani isHuu utaratibu wa kijinga sana kupeana umasikini. Na zamani haukuwepo, umeanza siku za hivi karinuni. 2000 kuja mbele ndio umeshamiri sana.
Wachina wanao,lakini ni kwa watu wa karibu tu,sio huku tunachangishana mpaka marafiki wa facebookWazungu hawana utaratibu huo
Nina rafiki yangu nilisoma nae, kaka yake alikuwa anaoa, yeye akaniletea kadi ya mchango, nikamuuliza marafiki zangu wote wakiniletea kadi za ndugu zao wakioa/ kuolewa itakuwaje??Wachina wanao,lakini ni kwa watu wa karibu tu,sio huku tunachangishana mpaka marafiki wa facebook
Nina rafiki yangu nilisoma nae, kaka yake alikuwa anaoa, yeye akaniletea kadi ya mchango, nikamuuliza marafiki zangu wote wakiniletea kadi za ndugu zao wakioa/ kuolewa itakuwaje??Wachina wanao,lakini ni kwa watu wa karibu tu,sio huku tunachangishana mpaka marafiki wa facebook
Marafiki wa fb tu? Mshikaji wako anakuletea kadi ya mtoto wa mjomba wake, yuko kijijini huko hata humjui. [emoji34]Wachina wanao,lakini ni kwa watu wa karibu tu,sio huku tunachangishana mpaka marafiki wa facebook
Habari za bodi ha mikopo na hii post inayohusu harusi ya prince zinahusianaje?kichwa chako kimajaa funza au? nimeuliza bodi ya mkopo we unaleta habari za njaa.
Marafiki wa fb tu? Mshikaji wako anakuletea kadi ya mtoto wa mjomba wake, yuko kijijini huko hata humjui. [emoji34]
Mi wa dizaini hyo huwa nawapa alfu tano,ikizidi sana 10.Nina rafiki yangu nilisoma nae, kaka yake alikuwa anaoa, yeye akaniletea kadi ya mchango, nikamuuliza marafiki zangu wote wakiniletea kadi za ndugu zao wakioa/ kuolewa itakuwaje??
Jamaa mpaka leo kapunguza ukaribu nami.
Ubarikiwe sana. ...hizo 5 na 10 ,zitaishia kwa mpokeaji. ..Mi wa dizaini hyo huwa nawapa alfu tano,ikizidi sana 10.
Potelea pote,roho yangu nyepesi mkuu,kumkazia mtu moja kwa moja siwezi,kwahyo nikikupa hyo ndio my way of saying NO.Ubarikiwe sana. ...hizo 5 na 10 ,zitaishia kwa mpokeaji. ..
Ndio maana nikasema ubarikiwe. ..wengine hatunaga roho nyepesi....[emoji53]Potelea pote,roho yangu nyepesi mkuu,kumkazia mtu moja kwa moja siwezi,kwahyo nikikupa hyo ndio my way of saying NO.