Ndoa ya Prince Harry na mpenzi wake Meghan Markle yagharimu zaidi ya sh Bilion 103

Huu utaratibu wa kijinga sana kupeana umasikini. Na zamani haukuwepo, umeanza siku za hivi karinuni. 2000 kuja mbele ndio umeshamiri sana.
Unachangia harusi laki mbili ambayo ungeilipia tuition ingemsaidia mwanao kufaulu mitihani is
 
Naona hizo ndogo sana walijibana tu maana familia za kifalme zina mambo mengi sana
 
Wachina wanao,lakini ni kwa watu wa karibu tu,sio huku tunachangishana mpaka marafiki wa facebook
Nina rafiki yangu nilisoma nae, kaka yake alikuwa anaoa, yeye akaniletea kadi ya mchango, nikamuuliza marafiki zangu wote wakiniletea kadi za ndugu zao wakioa/ kuolewa itakuwaje??
Jamaa mpaka leo kapunguza ukaribu nami.
 
Marafiki wa fb tu? Mshikaji wako anakuletea kadi ya mtoto wa mjomba wake, yuko kijijini huko hata humjui. [emoji34]
 
Hela nyingi sana hiyo... bahati nzuri huduma za kijamii 100%
 
Marafiki wa fb tu? Mshikaji wako anakuletea kadi ya mtoto wa mjomba wake, yuko kijijini huko hata humjui. [emoji34]
Nina rafiki yangu nilisoma nae, kaka yake alikuwa anaoa, yeye akaniletea kadi ya mchango, nikamuuliza marafiki zangu wote wakiniletea kadi za ndugu zao wakioa/ kuolewa itakuwaje??
Jamaa mpaka leo kapunguza ukaribu nami.
Mi wa dizaini hyo huwa nawapa alfu tano,ikizidi sana 10.
 
Ubarikiwe sana. ...hizo 5 na 10 ,zitaishia kwa mpokeaji. ..
Potelea pote,roho yangu nyepesi mkuu,kumkazia mtu moja kwa moja siwezi,kwahyo nikikupa hyo ndio my way of saying NO.
 
Ndio maana nikasema ubarikiwe. ..wengine hatunaga roho nyepesi....[emoji53]
 
Wangemualika Magu angemshauri Malkia hizo fedha za harusi zipelekwe kwenye stiglers gorge na SGR.
 
Uzuri ni kuwa walipa kodi wana huduma zote za muhimu afya, elimu, nyumba, barabara na pesa ya kula mengine wamewaachia tu royals
Umerudi lini bongo au bado uko huko huko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…