Ndoa ya Prince Harry na mpenzi wake Meghan Markle yagharimu zaidi ya sh Bilion 103

Hizo hela ungezi konveti kwa hela ya Tanzania ndio ningeelewa haraka!!!
 
Agalia hapa kwanza... hii ni hazina ya dhahabu kutoka hukuuuu africa ikikaguliwa na malkia.. unadhani hiyo gharama ni nini kwa watu wenye utajiri kama huu waliojichukulia na kutuachia mashimo?
 

Attachments

  • Capture queen.JPG
    114.2 KB · Views: 46
mbembwe tuu hizo. at the end anakulapapuchi kama sie wakitaa tuu.
 
Budget ya wizara ya kilimo ya Tanzania ni kias gan?
 
Huyu dada mbona hana make up,kashindwa na mke wa muuza matango
 
Ingekuwa huku uswahilini ungesikia kaoa mwanamke aliyemzidi umri na aliyeachika halafu katumia mapesa kibao si bure huyu kalishwa lim...ta
 
nikikumbuka malisa alivyoichambua hio ela nacheka sana eti ni ×3ya budget ya wizara ya mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…