hujambo.....?
Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha ( ndoa ) na mwanaume aitwaye Kauli Juma , imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa kwamba kila mmoja anaishi nchi tofauti na mwenzake.
nasikia hata tendo la ndoa walifanya mara mbili tu .
Daaaaaaa wabongo wanajua mengi kuliko hata mtu mwenyewe anavyojijua hahahahaaaaaaaaaa
Aahahahbahaha!! Mimi mwenyewe hiko kisehemu kimenigusa asieeh eti walifanya tendo la ndoa mara mbili dahh, warumi mbea lakini huyu katisha aiseeh, inabidi nimtafute, sasa sijui kajuaje kama walifanya ngono mara mbili tu kipindi chote cha uchumba hadi ndoa, dah mjini kutamu sana
ahahahhhh,na yule dada yao sijui nani vile
Imelda mtema huyo ndo balaaa hata usahau kuvaa chupi mambo hadhalani
Yaan nimecheka kwelii mimiii loo
Ahahahahh, kweli anaitwa Imelda mtema, dada mmbea yule, warumi wetu haoni ndani
Wandishi wa magazeti ya udaku ni wambea wanafiki na walozi waliopitiliza na baadhi yao ni wanaume! Eti wanajua mpaka mara walizofanya ngono what a stupid story
Kuna na akina mussa mateja na shakoor jongo pamoja na yule mpiga picha richard bukos, ile team ni noma wasisikie tukio hao na piki piki zao , mmh!! Ila wenzangu tu wanalipwa ngoja na mimi nianze kutafuta ajira kwa kweli maana nishapata experience ya kutosha
Kweli mwenzangu angalau upate hata hela ya kununua viatu, manake kusaka umbea sio kazi ndogo atii, au tuanzishe gazeti letu hapa JF na wewe ndo utakuwa mhariri mkuu, unaonaje hili wazo binamu
Sahihisha hii taarifa yako sema ulikwenda nyumba aliyopanga ndomo siyo kwa ndomo, na mwenye nyumba yake asemeje?Yani izi kazi binamu tunanusurika sana na tindikali, maana nakumbuka kuna siku nilienda sinza mori kwq ndomo nikakuta wanacheza ngorororo si nikawa nachungulia bhana nione show live yani umbea huu binamu unani cost mwenzio ivi ndomo angenimwagia tindikal sijui ingekuwaje
Sahihisha hii taarifa yako sema ulikwenda nyumba aliyopanga ndomo siyo kwa ndomo, na mwenye nyumba yake asemeje?
Dah kweli mkuu nashukuru kwa kunisahihisha, dah ila ndomo na yeye sijui aliwaza nini kupanga kule wakati yeye ni bilionea kama anavyojiita
Si angepanga hata zile nyumba zilizo nyuma ya mlimani city walau tungemuona the don, sasa kule karibia na wanyama hotel ushenzin ukipita unaona gari la ndomo lile limepak yan unaona kila kitu ndani na hakuna cha security guards achilia mbali wamasai wanaolinda