Ndoa ya Sauda Mwilima ni shida

Ndoa ya Sauda Mwilima ni shida

Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha ( ndoa ) na mwanaume aitwaye Kauli Juma , imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa kwamba kila mmoja anaishi nchi tofauti na mwenzake.
nasikia hata tendo la ndoa walifanya mara mbili tu .
Daaaaaaa wabongo wanajua mengi kuliko hata mtu mwenyewe anavyojijua hahahahaaaaaaaaaa
 
Aahahahbahaha!! Mimi mwenyewe hiko kisehemu kimenigusa asieeh eti walifanya tendo la ndoa mara mbili dahh, warumi mbea lakini huyu katisha aiseeh, inabidi nimtafute, sasa sijui kajuaje kama walifanya ngono mara mbili tu kipindi chote cha uchumba hadi ndoa, dah mjini kutamu sana

Yaan nimecheka kwelii mimiii loo
 
Last edited by a moderator:
Wandishi wa magazeti ya udaku ni wambea wanafiki na walozi waliopitiliza na baadhi yao ni wanaume! Eti wanajua mpaka mara walizofanya ngono what a stupid story
 
Imelda mtema huyo ndo balaaa hata usahau kuvaa chupi mambo hadhalani

Ahahahahh, kweli anaitwa Imelda mtema, dada mmbea yule, warumi wetu haoni ndani
 
Yaan nimecheka kwelii mimiii loo

Aahahah yani nimecheka sana aiseeh, kweli hakuna kazi nzito na ngumu kama umbea maana duh, aiseeh inabidi watufikirie kwenye utoaji wa tuzo kwa kweli, maana huu ufuku nyuku kwa kweli ni nomaaa

Natamani aje atuambie ndomo na mama ubaya wame ngonoka mara ngapi, maana huyu atakuwa anajua tu naona ana experience sana na haya mambo, naona ana degree kabisa
 
Ahahahahh, kweli anaitwa Imelda mtema, dada mmbea yule, warumi wetu haoni ndani

Kuna na akina mussa mateja na shakoor jongo pamoja na yule mpiga picha richard bukos, ile team ni noma wasisikie tukio hao na piki piki zao , mmh!! Ila wenzangu tu wanalipwa ngoja na mimi nianze kutafuta ajira kwa kweli maana nishapata experience ya kutosha
 
Wandishi wa magazeti ya udaku ni wambea wanafiki na walozi waliopitiliza na baadhi yao ni wanaume! Eti wanajua mpaka mara walizofanya ngono what a stupid story

Mshana nini na wewe wenzio wapo kazini na wameapa kwa mzee wa bamaga kufanya kazi kwa nguvu zao zote, we mtu mpaka unajua flan kafanya ngono mara ngapi we unadhan mchezo? Watu na vipaji vyao bhana
 
Kuna na akina mussa mateja na shakoor jongo pamoja na yule mpiga picha richard bukos, ile team ni noma wasisikie tukio hao na piki piki zao , mmh!! Ila wenzangu tu wanalipwa ngoja na mimi nianze kutafuta ajira kwa kweli maana nishapata experience ya kutosha

Kweli mwenzangu angalau upate hata hela ya kununua viatu, manake kusaka umbea sio kazi ndogo atii, au tuanzishe gazeti letu hapa JF na wewe ndo utakuwa mhariri mkuu, unaonaje hili wazo binamu
 
Kweli mwenzangu angalau upate hata hela ya kununua viatu, manake kusaka umbea sio kazi ndogo atii, au tuanzishe gazeti letu hapa JF na wewe ndo utakuwa mhariri mkuu, unaonaje hili wazo binamu

Yani izi kazi binamu tunanusurika sana na tindikali, maana nakumbuka kuna siku nilienda sinza mori kwq ndomo nikakuta wanacheza ngorororo si nikawa nachungulia bhana nione show live yani umbea huu binamu unani cost mwenzio ivi ndomo angenimwagia tindikal sijui ingekuwaje
 
  • Thanks
Reactions: ram

Sahihisha hii taarifa yako sema ulikwenda nyumba aliyopanga ndomo siyo kwa ndomo, na mwenye nyumba yake asemeje?
 
ulikuwa wapi watoto Wa ushenzini wametimka huko instagram kuja kututoa roho??

muulize warumi

Naona wameondoka kimya kimya, walikuja mbwe mbwe kibao wakajua uku ndo kwa hao akina team nini sijui uko instagram mbona wamesanda
 
Last edited by a moderator:
Sahihisha hii taarifa yako sema ulikwenda nyumba aliyopanga ndomo siyo kwa ndomo, na mwenye nyumba yake asemeje?

Dah kweli mkuu nashukuru kwa kunisahihisha, dah ila ndomo na yeye sijui aliwaza nini kupanga kule wakati yeye ni bilionea kama anavyojiita

Si angepanga hata zile nyumba zilizo nyuma ya mlimani city walau tungemuona the don, sasa kule karibia na wanyama hotel ushenzin ukipita unaona gari la ndomo lile limepak yan unaona kila kitu ndani na hakuna cha security guards achilia mbali wamasai wanaolinda
 
Hahaaaaa binamu umenfurahisha sana
 
nlikuwa nasikia #Warumi #Warumi mara binamu binamu.. samahani hivi wewe una undugu na matendo ya mitume? na Mwana Fa je!

Kumbe hiki ndio kijiwe chenyewe, sikosi hapa na mimi nafagilia sn umbea...
 
Back
Top Bottom