Ndoa ya Sauda Mwilima ni shida

Ndoa ya Sauda Mwilima ni shida

Umbea mwingine ni too much aisee. Ila inawezekana labda sauda mwenyewe ndo alimsimulia mtu kuwa wamefanya tendo la ndoa mara 2 tu, hahahaha ila watu ni balaa jamani
 
Umbea mwingine ni too much aisee. Ila inawezekana labda sauda mwenyewe ndo alimsimulia mtu kuwa wamefanya tendo la ndoa mara 2 tu, hahahaha ila watu ni balaa jamani

Wasanii wakiona vyombo vya habar wanachanganyikiwa wanajiropokea tu, usikute ye ndo kajitangaza 😊
 
Kumbe ulikuwa humjui binamu, huyu ndio binamu yetu warumi ana pacha wake anaitwa sijui nani vile, Sijui Gossp... eti binamu pacha wako anaitwa nani, ndo tunawategemea watuletee habari za mjini hapa jamvini

nlikuwa nasikia #Warumi #Warumi mara binamu binamu.. samahani hivi wewe una undugu na matendo ya mitume? na Mwana Fa je!

Kumbe hiki ndio kijiwe chenyewe, sikosi hapa na mimi nafagilia sn umbea...
 
Last edited by a moderator:
Dah kweli mkuu nashukuru kwa kunisahihisha, dah ila ndomo na yeye sijui aliwaza nini kupanga kule wakati yeye ni bilionea kama anavyojiita

Si angepanga hata zile nyumba zilizo nyuma ya mlimani city walau tungemuona the don, sasa kule karibia na wanyama hotel ushenzin ukipita unaona gari la ndomo lile limepak yan unaona kila kitu ndani na hakuna cha security guards achilia mbali wamasai wanaolinda

Jamanii kuna watu wanasema dai kanunua mabonge ya majumba,na hajapangaaa mnaoishi mjini mtupe detail maana mi najua kapangaa
 
Jamanii kuna watu wanasema dai kanunua mabonge ya majumba,na hajapangaaa mnaoishi mjini mtupe detail maana mi najua kapangaa

Bonge la nyumba my foot, si hadi babu yangu wa kule kimbiji angejua, hizo ni hadithi tu ambazo msimuliaji ni ndomo muandish ni shakoor jongo wa gpl
 
Back
Top Bottom