Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Ila somizi Ana mtoto kabisa alozaa na dada flan. Nampenda Sana somizi tangu akiwa actor wa fulani ya sarafina. Niliumwa Sana niliposkia ni shoga. Ila ni mtu mwema navyomwona na ni tajiri sana
 
Huyo Somizi huwa namwona anatafuta furaha kwa nguvu sana.

Ana pesa, fame anapata deals kibao lakini furaha imekuwa shida sana.

You are right, Mungu hawez kukupA Kila kitu, he has all the money , fame , power ila kwenye mapenzi Mungu kamnyima, he was forcing himself kwa mohale, he was too much but watu walimwambia huyo sio type yake all he wants is money n fame
 
Halafu ana mtoto mkubwa tu wa kike, yaani hata huwa ushoga watu wanashangaa aliuanza lini.

Mtu mwenyewe ameshazeeka, wakati Somizi anacheza Sarafina, huyo Mohale labda ndio ananyonya.

Kama Mohale alitaka fame na pesa ameshaipata, sasa hivi anafanya kazi na nakampuni kibao sasa why aendelee kukomaa na mzee.
 
Kaka umejuaje hz hbr mbay hv unafatiliaa kweli adi kujuwa kuwa Ana furaha ama Hana...au na wew unachekechwa
Ni star mkubwa mkuu. Ameanza kucheza filamu enzi za Sarafina. Vile vile ni Judge kwenye Idols South Africa, Msanii wa Muziki na ni TV personality. Hivyo namfollow Instagram.

Mkuu dunia ya leo jifunze kukubaliana na ukweli, au wanasema ukubali kutokubaliana. Just embrace diversity.

Ndio ashakuwa hivyo na huwezi kumbadili hata kama ukimchukia chuki gunia.

Binafsi huwa naangalia utu, mambo mengine kila mtu ana matatizo yake.
 
You are right, Mungu hawez kukupA Kila kitu, he has all the money , fame , power ila kwenye mapenzi Mungu kamnyima, he was forcing himself kwa mohale, he was too much but watu walimwambia huyo sio type yake all he wants is money n fame
Huyu somizi jaman nae mbishi, hata Bob risky aliwahi zungumzia hili, alisema hawaendani ila akashushuliwa vikali na watu mweeh,
Leo haya hapa, yule mohale anatakiwa kuwa na mtu wa umri wake, yaan amsha amsha za ujanani [emoji23][emoji23][emoji23].

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwan unadhan huyo mohale ndo anataka hiyo ndoa? Somizi mbishi na king'ang'anizi, ana mganda mwenzie km ruba, anadhan pesa zake zinaweza kumdhibiti mohale, kumbe anajidanganya mwenzake kijana yee mzee, wapi na wapi?

Mie nikitazama hii ndoa huwa nachokaga kabisaa, yaan viben10 na marioos had kwenye gayism industry, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui hata anakwama wapi huyu bibie, yaan ndoa kabisa halali afu anashindwa kumdhibiti mumewe, huko South hakuna mambwata? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan hii dunia, ina visanga vyake wallah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ubarikiwe sana Mr, hakika upo sahihi sana.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Morale is just 25.

Somizi mzee mwenzangu nae ilibidi tu ajipange.

Nacheka the way Somizi anajichetua anahangaika kucall his attention kwa kujifanya anatoka na Vusinova.

Dogo kagoma kutoa kiki, totally unbothered.
Yaaaaani hatikisi kope.

Ukiwa na ex kama yule kaziiiiiii, uuuwih!!
 
Matumizi mabaya ya silabi na ilabu za neno bibie yaite tu machoko itatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…