Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Huyo Somizi huwa namwona anatafuta furaha kwa nguvu sana.

Ana pesa, fame anapata deals kibao lakini furaha imekuwa shida sana.
Somizi is happy and a vibrant person ever since.

Lakini Mohale ni kisiki, kila anavyohangaika kuprove he is okey, ndivyo more unhappy he seem to be.

Yani ni shida.
Kuna muda alimtetea Mohale, alichambaaaaa.

Mohale mwenyewe sasa, hakiiiii.

Mi namwelewa Somizj anachopitia.
Ex kama Mohale uwe humpendi ndo salama yako.
Ila Somizi pale ndo breki yake, hali dhooooofkhali
 
Sasa kwan unadhan huyo mohale ndo anataka hiyo ndoa? Somizi mbishi na king'ang'anizi, ana mganda mwenzie km ruba, anadhan pesa zake zinaweza kumdhibiti mohale, kumbe anajidanganya mwenzake kijana yee mzee, wapi na wapi?

Mie nikitazama hii ndoa huwa nachokaga kabisaa, yaan viben10 na marioos had kwenye gayism industry, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui hata anakwama wapi huyu bibie, yaan ndoa kabisa halali afu anashindwa kumdhibiti mumewe, huko South hakuna mambwata? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan hii dunia, ina visanga vyake wallah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sasa hivi ameanza kujiweka kwa Mwanamuziki, Vusi Nova anasema ni rafiki yake. Huwa anaenda hadi kwake kumuuguza🙄
 
Kaka umejuaje hz hbr mbay hv unafatiliaa kweli adi kujuwa kuwa Ana furaha ama Hana...au na wew unachekechwa
Apart from being a fag,
Somizi ni bonge la Philanthropist, he is an icon aseeeh.

Bonge la mpishi.
Anasaidia watu kibao SA.
Ana makampuni kibao.
Fashion icon
Ana upande ulio mzuri tu kuhusu maisha na kujitambua plus kujisimamia.

Mama yake pia alikuwa muigizaji nguli.
Baba yake as well.
Kwa hiyo wala sio mtu utampuuza ukiamua kutazama sanaa ya South Africa.

Somizi Mhlongo is an icon.
 
Sasa kwan unadhan huyo mohale ndo anataka hiyo ndoa? Somizi mbishi na king'ang'anizi, ana mganda mwenzie km ruba, anadhan pesa zake zinaweza kumdhibiti mohale, kumbe anajidanganya mwenzake kijana yee mzee, wapi na wapi?

Mie nikitazama hii ndoa huwa nachokaga kabisaa, yaan viben10 na marioos had kwenye gayism industry, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui hata anakwama wapi huyu bibie, yaan ndoa kabisa halali afu anashindwa kumdhibiti mumewe, huko South hakuna mambwata? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan hii dunia, ina visanga vyake wallah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
aunt nifundishwe mambwata.
Lakini warumi si anasemaga limbwata kubwa ni tigo.
Mbona somizi anatoa lakini analia lia mapenzi?
 
Halafu ana mtoto mkubwa tu wa kike, yaani hata huwa ushoga watu wanashangaa aliuanza lini.

Mtu mwenyewe ameshazeeka, wakati Somizi anacheza Sarafina, huyo Mohale labda ndio ananyonya.

Kama Mohale alitaka fame na pesa ameshaipata, sasa hivi anafanya kazi na nakampuni kibao sasa why aendelee kukomaa na mzee.
Yes binti mkubwa kabisa yule
 
Apart from being a fag,
Somizi ni bonge la Philanthropist, he is an icon aseeeh.

Bonge la mpishi.
Anasaidia watu kibao SA.
Ana makampuni kibao.
Fashion icon
Ana upande ulio mzuri tu kuhusu maisha na kujitambua plus kujisimamia.

Mama yake pia alikuwa muigizaji nguli.
Baba yake as well.
Kwa hiyo wala sio mtu utampuuza ukiamua kutazama sanaa ya South Africa.

Somizi Mhlongo is an icon.
Ametoa sana misaada ya chakula wakati wa strict lockdown due to COVUD-19 kitu ambacho hata makanisa yetu ya kilokole hawafanyi.

Dunia hii sometimes ukiiangalia kwa macho ya kipekee utakuwa mtu huru kabisa.
 
Morale is just 25.

Somizi mzee mwenzangu nae ilibidi tu ajipange.

Nacheka the way Somizi anajichetua anahangaika kucall his attention kwa kujifanya anatoka na Vusinova.

Dogo kagoma kutoa kiki, totally unbothered.
Yaaaaani hatikisi kope.

Ukiwa na ex kama yule kaziiiiiii, uuuwih!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaaan mohale ni moumer kwa kweli lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Somizi is happy and a vibrant person ever since.

Lakini Mohale ni kisiki, kila anavyohangaika kuprove he is okey, ndivyo more unhappy he seem to be.

Yani ni shida.
Kuna muda alimtetea Mohale, alichambaaaaa.

Mohale mwenyewe sasa, hakiiiii.

Mi namwelewa Somizj anachopitia.
Ex kama Mohale uwe humpendi ndo salama yako.
Ila Somizi pale ndo breki yake, hali dhooooofkhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi somizi hawaoni Bob risky na James Charles? Wenzake hawa hangaishwi na ma basha yasiyo jielewa,
Ila mohale nae amezidi jaman khaaaah, si afake tyuu kidogo hata km hapendi. Huhuhuhuhuh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Morale is just 25.

Somizi mzee mwenzangu nae ilibidi tu ajipange.

Nacheka the way Somizi anajichetua anahangaika kucall his attention kwa kujifanya anatoka na Vusinova.

Dogo kagoma kutoa kiki, totally unbothered.
Yaaaaani hatikisi kope.

Ukiwa na ex kama yule kaziiiiiii, uuuwih!!
Mohale hapendi mashoga, ila ni umasikini tu ulimpeleka kwa Somizi.

Ashazipata pesa na umaarufu sasa hivi kampani yake ni "totozi"🤣🤣🤣
 
Sasa hivi ameanza kujiweka kwa Mwanamuziki, Vusi Nova anasema ni rafiki yake. Huwa anaenda hadi kwake kumuuguza[emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu somizi nae akae kwa kutulia, ataishia kupigwa matukio, mwisho afe kwa stress, mapenzi haya jamani khaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
He wants to look happy ila moyo wake u ko kwa mohale, somiz anapenda yule mtoto n ain’t that cute , ila watarudiana tu
Hivi binamu huko South hakuna mambwata? Mie hata sielewi somiz anakwama wapi, kumdhibiti huyu kiben10 wake lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
aunt nifundishwe mambwata.
Lakini warumi si anasemaga limbwata kubwa ni tigo.
Mbona somizi anatoa lakini analia lia mapenzi?
Kwa dunia ya sahivi bila mambwata mbna utaishia kuona vumbi, tigo itatolewa na kumemenyuliwa na ndoa huion au ikiwepo bas ya kinafiki, huki m1 akifake na kuugulia maumivu.

Sasa nani anataka mambo hayo? Mie sidanganyiki ng'oooooh naroga mtoto wa mtu, anakula uchafu wangu hadi baas, namtengeneza hadi kende zake za uzazi zijute kuning'inia chini ya kiuno, nani anataka kuchezewaa na kuachwa?

Kwangu haipo hiyoooh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli sijawahi kuelewa inakuaje mpaka niache hawa warembo wote nianze kumtamani mwanaume. Dah sijawahi kuelewa
Mhhh! 🤭Inahitaji moyo wa chuma kumla/kuliwa na mwanaume mwenzako. Namshukuru Mwenyezi kwa kuniepusha na hisia za kishetani kama hizo.

cocastic njoo utie neno hapa. Huu uzi usipite kirahisi tu bila ya kuchangia chochote.
Asee watoto wakali huku mitaani walivyojaa na jinsi wanavyovutia,alafu nikagonge mwanaume mwenzangu..never!!

Hivi inakuwaje mwanaume anaingiwa na tamaa ya kuchezea mavi ya mwanaume mwenzie tena mtu mzima kabisa.Binadamu hatujaacha kushangaza
Mimi huwa nahisi labda kuna kurogwa aisee🤣

Huyo Somizi alikuwa fresh tu, anakula totozi kama kawaida na ana mtoto kabisa. Mara ghafla akawa shoga.

Somizi na mwanaye👇👇👇

1621087917538.png
 
Back
Top Bottom