Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Mohale hapendi mashoga, ila ni umasikini tu ulimpeleka kwa Somizi.

Ashazipata pesa na umaarufu sasa hivi kampani yake ni "totozi"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ana muacha mzee wa watu ana haha tyuuuh, wanaume wengine wana dhambi jaman khaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwa dunia ya sahivi bila mambwata mbna utaishia kuona vumbi, tigo itatolewa na kumemenyuliwa na ndoa huion au ikiwepo bas ya kinafiki, huki m1 akifake na kuugulia maumivu.

Sasa nani anataka mambo hayo? Mie sidanganyiki ng'oooooh naroga mtoto wa mtu, anakula uchafu wangu hadi baas, namtengeneza hadi kende zake za uzazi zijute kuning'inia chini ya kiuno, nani anataka kuchezewaa na kuachwa?

Kwangu haipo hiyoooh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
🙆🚶🚶🚶🤸🏃🏃🏃
 
Mimi huwa nahisi labda kuna kurogwa aisee[emoji1787]

Huyo Somizi alikuwa fresh tu, anakula totozi kama kawaida na ana mtoto kabisa. Mara ghafla akawa shoga.

Somizi na mwanaye[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1786091
Tena mtoto wake cute.

Sio kurogwa, ni hisia zake jamani, sema alifanya vile kufake tyuuh, ila alishindwa kujificha akaona awe wazi ambapo uhalisia unataka.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mie nashangaa jinsi watu wanavyowajua hawa madunya utadhani wanaishi Manzese [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahah hata Mimi nikawa bize kusoma comments na kurudi juu kuangalia picha huyo somizi ndy yupi maana Nina lake linatajwa zaidi

Wanavyowachambua Hadi nashangaa,mmoja kasema huyo shoga katoa msaada kwa wahanga wa covid 19..watu wako deep sn[emoji16]
 
Maisha ya watu siku hizi yote yanawekwa Instagram.
 
Morale is just 25.

Somizi mzee mwenzangu nae ilibidi tu ajipange.

Nacheka the way Somizi anajichetua anahangaika kucall his attention kwa kujifanya anatoka na Vusinova.

Dogo kagoma kutoa kiki, totally unbothered.
Yaaaaani hatikisi kope.

Ukiwa na ex kama yule kaziiiiiii, uuuwih!!

Mohale ni mafia, hana habare, yuko zake busy na photo shoot kila kukicha, ila ipo siku atamkumbuka kwa kweli, somizi gave him everything , nilikutana na mohale Sandton anaendesha Mercedes g wagon, kasafi kananukia, Tatizo mohale anapenda vinga’ast wale mabishoo wabeba vyuma, sasa somiz sura hana , shape hana akaona isiwe kesi
 
Mohale hapendi mashoga, ila ni umasikini tu ulimpeleka kwa Somizi.

Ashazipata pesa na umaarufu sasa hivi kampani yake ni "totozi"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ka mohale kashoga tu Hata kalivyo, kanavyovaa na kuongea ila tu kilichompeleka kwq somizi ni pesa sio mapenzi coz nadhan kwake somiz hana mvuto
 
Mashoga wengi wanajua sana kupika, na wanakua multi talented na wana vipaji vya kutisha, popote wanapogusa huwa wanafanya mabalaa, wengi wana akili za ajabu mno na mafanikio ya kutisha
Kweli usemacho
 
Mohale ni mafia, hana habare, yuko zake busy na photo shoot kila kukicha, ila ipo siku atamkumbuka kwa kweli, somizi gave him everything , nilikutana na mohale Sandton anaendesha Mercedes g wagon, kasafi kananukia, Tatizo mohale anapenda vinga’ast wale mabishoo wabeba vyuma, sasa somiz sura hana , shape hana akaona isiwe kesi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila binamu bhana, sio huyo tyuuh basha wengi hasa vitoto 20 - 30s wanapenda mabishow na wabeba vyuma, hawa wazee wanafataga pesa zao tyuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom