Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

Mashoga wengi wanajua sana kupika, na wanakua multi talented na wana vipaji vya kutisha, popote wanapogusa huwa wanafanya mabalaa, wengi wana akili za ajabu mno na mafanikio ya kutisha
Woyooooooooooooooooooooooh wapi nduruuuuuuuuuuuuuuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tatzo la hawa watu m1 wapo hayupo ki dhati ktk mapenzi ya mlengo huo, yupo kwa ajiri ya maslahi, ndo maana wanaishia kuparaganyika tyuuh.

Na huyo bibie nae ameshindwa kabisa kumdhibiti huyo bwana, hadi anachezeshwa hivo kidamali? mambwata yote haya duniani hapa? Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nawaombea kwa Jah wamalize tofauti zao, wakae chini na kujenga ndoa yao upya irudi km zamani.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji15]heeeh!!!

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwenye bleach ndo mke, na huyo mwingne mume, yaan mtu analea kibenten wake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia tamu hii, sugar mommy na mariooh hadi kwenye gaysim, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Haaaaa huu uzi umekutoa pangoni huu,
Leo unajiskia burudani haswa kuwaona wenzio
 
South Africa kuna kila kitu kama unyamwezini, bunduki za kuuana, ushoga umeruhusiwa, kuna masikini wa kutupwa na matajiri wa kusaza. Ile nchi tuwaachie wasauzi wenyewe,sisi tupige biashara tu pale tuchukue hamsini zetu,basi.
 
Mashoga wengi wanajua sana kupika, na wanakua multi talented na wana vipaji vya kutisha, popote wanapogusa huwa wanafanya mabalaa, wengi wana akili za ajabu mno na mafanikio ya kutisha
Hiii sijui ukoje aiseeeh.

Gays are multi talented.
Yaaaaaani yaaani unamkumbuka Paco Decor?
Dah!
Basi tu ile fags ni noma wen it comes to talents.
 
Mohale hapendi mashoga, ila ni umasikini tu ulimpeleka kwa Somizi.

Ashazipata pesa na umaarufu sasa hivi kampani yake ni "totozi"🤣🤣🤣
Pengine, mana hata wakiwa pamoja.

He was tu yani tu his own world.
Somizi still love him aiseeh, yani sijui kama anachomoka.
Ndo mana bado he clings in there, kwa personality aliyonayo na self built happiness being he is.
Alikuwa wa kumtaliki Mohale haraka sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu somizi nae akae kwa kutulia, ataishia kupigwa matukio, mwisho afe kwa stress, mapenzi haya jamani khaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Na he seem to be stressed.
Japo anajaribu sana kuwa okey, but hii ya Mohale imemtikisa maskin
 
Ametoa sana misaada ya chakula wakati wa strict lockdown due to COVUD-19 kitu ambacho hata makanisa yetu ya kilokole hawafanyi.

Dunia hii sometimes ukiiangalia kwa macho ya kipekee utakuwa mtu huru kabisa.
Sana sana sana.
Na anasomesha watoto, yani anarudisha kwa jamii mno.

Na wa SA wanampendaaaa.
Ehehehhehehehher
 
Back
Top Bottom