Ndoa ya Thea kaa la moto

Ndoa ya Thea kaa la moto

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
thea-na-mike-sanga.jpg

Mastaa wa Filamu Bongo waliokuwa wanandoa, Mike Sangu na Salome Urassa ‘Thea’ wamepelekana kwa padri wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Mwananyamala jijini Dar kwa ajili ya hatua ya kutalikiana.

Chanzo kilicho karibu na mastaa hao kilidai kuwa, Thea ndiye aliyekusanya picha anazoposti Mike kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na mpenzi wake wa sasa aitwaye Eliza na kuzipeleka kwa Padri ili kushawishi apewe talaka yake.

Ili kujua ukweli wa habari hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Mike, alipopatikana alisema:

“Ni kweli niliitwa nikajieleza ingawa habari hizi nisingependa ziandikwe magazetini kwa sababu bado ziko ngazi ya kanisani,” alisema Mike huku Thea akigoma kuongea chochote akidai ni mambo yake binafsi”.

Source: Bongo Movie
 
Akiwa mwigizaji utaigiza hadi tendo la ndoa
 
Dah,yan bongo kuna watu wanausaka umaarufu kweli kwn watu hawafahamiki lakin bado wanajiita mastaa..[emoji16] [emoji16]
 
kma humji thea, utakuwa umeanza kuangalia vipindi vya TV juzi juzi tu am umezaliwa juzi juzi tu
 
thea-na-mike-sanga.jpg

Mastaa wa Filamu Bongo waliokuwa wanandoa, Mike Sangu na Salome Urassa ‘Thea’ wamepelekana kwa padri wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Mwananyamala jijini Dar kwa ajili ya hatua ya kutalikiana.

Chanzo kilicho karibu na mastaa hao kilidai kuwa, Thea ndiye aliyekusanya picha anazoposti Mike kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa na mpenzi wake wa sasa aitwaye Eliza na kuzipeleka kwa Padri ili kushawishi apewe talaka yake.

Ili kujua ukweli wa habari hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Mike, alipopatikana alisema:

“Ni kweli niliitwa nikajieleza ingawa habari hizi nisingependa ziandikwe magazetini kwa sababu bado ziko ngazi ya kanisani,” alisema Mike huku Thea akigoma kuongea chochote akidai ni mambo yake binafsi”.

Source: Bongo Movie

Yani huyu jamaa habari zake ni za udaku tu, Jana kaja na Ubuyu wa Wastara Juma, leo tena ubuyu wa Tea au ww ni .......
 
Mike mke wa pili huyu wanashindwana napata mashaka.
 
Back
Top Bottom