Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.
Dah huyu Dada mbona anapitia mitihani migumu hivi!? Nimesikia uchungu mno baada ya kuona kwenye mitandao kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na nikapata uthibitisho kwenye radio kipindi cha dida. Kwanza kabisa namuombea apone then mengine ndo yatafuata.
kwan lazima aolewe?hii ni ndoa ya 100*au?!, hebu atulize kinanihii...
 
nilijiuliza sana kama huyu wastara angeweza kuvutiwa na matusi ya Sadif..... hadi akaona ndiye awe baby wake!?
tabia ya SDF nje ya Lugha za msalani, hawezi kumshawishi mtu kuwa naye karibu. WSTR kaponzwa na tamaa ya ku-do
Ku-do kila mtu anaweza au unafikiri Bond alikuwa hawezi? Kaponzwa na tamaa ya noti.
 
nilijiuliza sana kama huyu wastara angeweza kuvutiwa na matusi ya Sadif..... hadi akaona ndiye awe baby wake!?
tabia ya SDF nje ya Lugha za msalani, hawezi kumshawishi mtu kuwa naye karibu. WSTR kaponzwa na tamaa ya ku-do
Dah huyu Dada mbona anapitia mitihani migumu hivi!? Nimesikia uchungu mno baada ya kuona kwenye mitandao kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na nikapata uthibitisho kwenye radio kipindi cha dida. Kwanza kabisa namuombea apone then mengine ndo yatafuata.
nyota ya popo!/
Ni hii ndoa ya juzi na mheshimiwa Fulani au?

mh.awe na roho ya ubinaadam tafadhali,apate sunna.
huyu dada sina maana ya kum judge, ila aliolewa na huyu jamaa kwa sababu alikua desperate, hakufanya upembuzi kujua kweli kama nikiolewa na huyu jamaa nitaweza kuendana nae au vp, yeye alikimbilia kuolewa tu basi, pole kwake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…