Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Ndoa ya Wastara yadaiwa kuvunjika, mumewe afafanua kilichotokea

Status
Not open for further replies.
Wastara alitakiwa kutulia sana mmewe katuaga mwaka haujaisha mapenzi, ndoa ndo nini anakimbilia wapi angetulia kwanza ata miaka mitano
 
Maelezo ya kina tafadhari kwa mfano, Wastara anajishughulisha na ...................
Aliolewa tarehe ...................na fulani .......
Kaachwa kwa sababu ya ......................
Sio wote tunawajua watu wote hapa mjini.
Kweli una IQ kubwa weye na yaelekea umesoma mpaka bookshop.
 
Options ya kuachana kwa waislam ni nzuri jamani, japo Allah anachukizwa na kitendo hichi cha wanandoa kuachana, Ila ikifikia kipind hamuelewan hata mkisuluhishwa bado tu mnaruhusiwa kutengana kwa muda kila mtu awe mbali na mwenzio, mkirud tena pa1 km bado haziivi bas itabidi kuachana mtu upate kuwa na utulivu umpate anayee kufaa na kuendana nae.

Sio km wenzetu ukioa mke mmoja ndio huyohuyo tu hata km mwenzako mapenz hayapo anakusaliti uvumilie tuuu na inafka kipind watu wanaish tu bas kwa kuwa din imewapiga pin.

Nafkiri wakristu ndio mngepitia tena upya sheria zenu za ndoa muwe Na options ya kuachana mnaposhndwana tabia hata papa niliskia alilihoj hili kuachana iwepo maana watu wanatenda zambi kwenye ndoa zao
Hivi leo ikapitishwa hii ya kuachana kwa wakristo ndoa nyng ztavunjika na watu kupumua maana wapo kifungon..

Jingne pia ss waislam tunaitumia vibaya sheria hii ya talaka vibaya uvumilivu kwenye ndoa uwepo sio mnaachana kwa makosa ya kipuuz tu ke amezaa shepu, chuchu saa sita zimebadilka havutii km zaman unamwacha ujinga huu wakit umemuharbia mwenyewe tu wavumilivu kwenye ndoa tutadumu.
 
Aisee pole yake lkn,but angeachana tu na mambo ya ndoa as far as ana watoto,mbona watoto ni faraja tosha,akakomaa kutafuta hela tu mapenzi ya siku hizi.


Mungu ni Mume wa wajane!!!
 
ongeeni yote lakini nahisi kapigwa KIPAPAI NA MKE MWENZA
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] inawezekan maana eti waliweka poz kabisaa yule mke wenyewe kisu af umletee ukewenza


kisha mume mwenyewe hamnazo
 
Mdau,miongozo ya ndoa ya kiislam haikuwekwa na binadam ila imewekwa na Mwenyezimungu,usidhan sheria iliyopitishwa na Bunge useme leo mnaiweka kesho mnaitoa.
Uislam ushakuja na miongozo yake.Unapendekeza waislam wapitie sheria za ndoa,hasa kipengele gani una shaka nacho?

Ndugu yangu wala nao.

Wanashangaa talaka za waislam hawajui kama kanisa limesharuhusu talaka, na walivyopitisha tu hiyo sheria za talaka yalikuja maombi zaidi ya elf 5, wake kwa waume wakihitaji talaka,

Hahahaha hlf mjinga anasema kipengele kibadilishwe,
Anadhan Mungu ni papa au ni askofu?

Mungu kaweka talaka coz anajua udhaifu wa wanaadamu.

"Hakika nimemuumba mwanaadamu hali ya kua si mwenye kuridhika...." Quran.

Sasa mtu anakufanyia mambo ya ajabu ww umeng'ang'ana nae, mpk anahama chumba upo tu, anahama nyuma umekomaa tu,
Kisa nini NDOA.
 
Kuna wanawake wanapenda kuolewa hata km anadhalilika kwenye hizo ndoa.... Dida, Wastara Isha mashauzi.... Halafu ajabu hazidumu hizo ndoa za nn sasa kuhangaika namna hii!
 
Wastara atakuwa na tatizo si bure maana ndoa ya nne hii anaachika kama si ya tano.
 
Mimi ni mkristo Lakini sidhani kwa ishu ya wastara kama tatizo ni dini.U kipitia historia ya kuolewa ya wastara hii ni ndoa ya sita anaachika ukimtoa marehemu sajuki ambaye hakumuacha ila kifo ndo kiliwatenganisha.

Vyovyote vile wastara atakuwa na some problems maana haiwezekani katika sita wote asipate wa kuendana naye.

Na ushauri wa bure kwa wastara anatakiwa ajitambue kuwa ndoa kwake ni tatizo hivyo aishi tu bila ndoa akubali matokeo Hanna jipya tena kwenye ndoa ameshaolewa sana atulie alee watoto wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom