hahahaahHuyo SDF na wewe mlishindwana?
Aliingilia nyumba ya yenyewe!Nini sababu...!?
Mambo ya unajimu sasa hayo muungwana, nyota yake ina mhusu mwenyewe au wataka aje umsafishie?Huyu dada ni nyota gani?
Kweli una IQ kubwa weye na yaelekea umesoma mpaka bookshop.Maelezo ya kina tafadhari kwa mfano, Wastara anajishughulisha na ...................
Aliolewa tarehe ...................na fulani .......
Kaachwa kwa sababu ya ......................
Sio wote tunawajua watu wote hapa mjini.
ngoja nimgoogle nataman vitz.... ni wa wapiSadiffa muhuni sana yuko radhi kuhonga hata cheo Ili ampate mwanamke...hatitakuwa ajabu kuhonga ndoa
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] inawezekan maana eti waliweka poz kabisaa yule mke wenyewe kisu af umletee ukewenzaongeeni yote lakini nahisi kapigwa KIPAPAI NA MKE MWENZA
Mdau,miongozo ya ndoa ya kiislam haikuwekwa na binadam ila imewekwa na Mwenyezimungu,usidhan sheria iliyopitishwa na Bunge useme leo mnaiweka kesho mnaitoa.
Uislam ushakuja na miongozo yake.Unapendekeza waislam wapitie sheria za ndoa,hasa kipengele gani una shaka nacho?
yupo mjini teyariUsije mjini.....
naskia 6Wastara atakuwa na tatizo si bure maana ndoa ya nne hii anaachika kama si ya tano.
Duh basi moja kwa moja atakuwa na Shida maana haiwezekani Kati ya sita wrote wawe na matatizo.naskia 6
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Siku hizi wazee wa "hit and run" wana mbinu za kidigitali, anakukabidhi gari au kandoa ka kizushi.