Ndoa ya Wema na Diamond mwezi wa nane

Ndoa ya Wema na Diamond mwezi wa nane

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii na kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu watafunga ndoa

Akizungumza na Amani jijini Dar es Salaam juzikati, Hassan alisema amepiga mahesabu ya kinyota kwa wapenzi hao na kubaini kuwa, Agosti ndoa yao itafungwa mahali popote nchini Tanzania.

Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote

“Lakini nawapa angalizo muhimu, wakae wakijua kwamba kama ndoa hiyo haitatimia Agosti kutokana na sababu zao wenyewe, haitafungwa tena hadi mwaka 2016, kwa sababu lazima ndoa yao iwe kwenye mwaka unaogawanyika.”
 
Hivi mbona sikuwahi kumsikia Yahaya akitabiri upuuz kama huu hajaona vya maana vya kujadiliiii au ndio umaarufu!!!badala ajadilii hata Katibaaaaa lol
 
Hivi mbona sikuwahi kumsikia Yahaya akitabiri upuuz kama huu hajaona vya maana vya kujadiliiii au ndio umaarufu!!!badala ajadilii hata Katibaaaaa lol


Tatizo shule mama yaani hizo habari naonaga kichefuchefu ptuuuu
 
Aisee kichwa cha wema kina milimaaa na mabondee kuinukaaa
 
Back
Top Bottom