Ndoa ya Wema na Diamond mwezi wa nane

Ndoa ya Wema na Diamond mwezi wa nane

lusungo unanidanganyaa mbona siuoni uziiii
 
Last edited by a moderator:
lusungo unanidanganyaa mbona siuoni uziiii

Umefutwa halafu kuna mtu kaleta mada ile ile hoja mchanganyiko anadai kaka yake kamtenga yuko mamtoni hahaha mi sitii sumu Leo kajionee mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Umefutwa halafu kuna mtu kaleta mada ile ile hoja mchanganyiko anadai kaka yake kamtenga yuko mamtoni hahaha mi sitii sumu Leo kajionee mwenyewe

Heeeee ole wakoooooo baki huku huku
 
diamond inabidi atikise kwanza kabla hajatumia,

wema anafaa kwanza atiwe mimba, azae!

baada ya hapo ndio aolewe kama inawezekana ama aachwe kama haiwezekani!

all are possible!
 
Back
Top Bottom