Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mkuu mtu akiolewa hata akitoa unyumba pia atangaze....Msipoteze lengo jaman, ndoa vip? Hatuelewi
Alisema wapi labda? Ebu tuambie na sisi tujue
Director Chriss ndiye iyemuumbua.
Dougie masta alimkosea sana yule kaka kwa kumtukana matusi ya nguoni afu Wema akakaa kimya kabisa.Yani Wema mbele ya team yake ushuzi hajali hata proffession yake wala mahusiano yake na watu wengine.
Anakera sana.Tena nna uhakika rich gang walifanya yaoNa iyo ilikua baafa ya yeye kuwasikiza sana wale mbwa zake.
Ivan alipoona tako linadindoka akatoka baruuu
Wema ni mkristu mpaka afunge ndoa kwa kanisa???
jamaniHv malaya anaolewaga
jamani