Ndoa ya Wema Sepetu imeishia wapi?

Ilifungwa instagram ikaishia instagram

AHahah ahaha mwenzangu, kweli ilikuwa ndoa ya instagram, ndoa ata bwana harusi na wapambe hawaonekan, yani mbwa mwitu walivyokuwa wanapiga domo uko insta mbwa wale, sasa ivi sijui wanajisikiaje mxiuuu
 
Kama ulihitaj msaada ungeuliza toka mwanzo,mwanaume una wivu ww!bas umeolewa ww
 
Ilikuwa ni strategic tu ya kuzima white party isivume sana hamna cha ndoa wala ndoano, angekuwa ameolewa si angehama pale alipokuwa anaishi akahamia kwa mume?? ndio ujue rais anavyowanyima watu usingizi, mpaka mtu anayejiita icon ya taifa anavyoamua kujitoa ufahamu na kujisingizia ndoa. dawati lake la ufundi liliona ndio njia pekee iliyopo.
 
Alisema wapi labda? Ebu tuambie na sisi tujue

Director Chriss ndiye iyemuumbua.Dougie masta alimkosea sana yule kaka kwa kumtukana matusi ya nguoni afu Wema akakaa kimya kabisa.
Yani Wema mbele ya team yake ushuzi hajali hata proffession yake wala mahusiano yake na watu wengine.

Anakera sana.Tena nna uhakika rich gang walifanya yao Na iyo ilikua baafa ya yeye kuwasikiza sana wale mbwa zake.
Ivan alipoona tako linadindoka akatoka baruuu
 
Ivi lulu mimba imevanish ama....au alikua anaigiza
 
labda aolewe na lance wa mange kimavi manake anampaisha kila siku kama analipwa, mie natamani ningemuona mama ubaya akiwa ndani swimming costume tena bikini kama za hudda he he heeee tungeona mterepweto hizi nguo hizi zinafichaga mengi sana.

ile mihela ya kuhongwa anarushaga kwenye masteji angekwea pipa kwenda kuondoa michirizi hapo south na wala sio expensive ati anamaintain jina mume atakula loss kama lance hadi arudi class!
 

Yani walimtukana yule director, ila nillingia insta kule nikatoa vichambo vya haja kwa team wema mpka wakafuta picha, wema hana akil, team nyan Singh wanajisikiaje kwa hi aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…