Ndoa ya Wema Sepetu imeishia wapi?

.....wivu kidonda mwanamke

mange kaingiaje humu???



 

Hahahahahahaaa!!! Umenichecheshaa. Eti akatoka baruuu! I said it here at the time, I thought Wema was being stupid to announce and let people believe she got married just because of Zari White party. Wale woote wanaosema ametulia haangaiki na Diamond wala Zari, really? Team Wema are going around verbally insulting anyone they deem as a supporter of Diamond or Zari and Wema stands by enjoying it. Innocent,she isnt.
 

Hajielewi huyo
 
We nawe ukisikia ndoa maana yake ni kwamba kapata bwana mpya sio hizi tunazozijua sisi
 
Kwan uongo malaya akiolewa kaenda likizo kashazoe kulabhata kupareee sasa ukamuweke ndan hv Kweli ataweza kukaaa awangalietu wenzi kwny Scalia network wanavopart itakua ndoto

Ww umemalayawa na wangapi? baba ako,hawara yako,kaka ako au nani kwenye ukoo wenu kamlala. Acha kujiongezea midhambi v.....uzi weee. Muache mtt wa watu apumue
 
Ww umemalayawa na wangapi? baba ako,hawara yako,kaka ako au nani kwenye ukoo wenu kamlala. Acha kujiongezea midhambi v.....uzi weee. Muache mtt wa watu apumue

Haa haa haa imekufkaaa hapaaaaaaaa!!!!! Ni ndugu yaako nn
 
.....wivu kidonda mwanamke

mange kaingiaje humu???
nilikuwa natype nikakuta tuu nimendika mange kimavi haya mfikishie ujumbe. by the way mie sio team zombie siabudu mungu mtu ati nimuonee wivu kwenye kile kibanda umiza kilichopauka au bongolicious? mtu hajui hata kupiga mswaki domo linanukaa mwambie asugue na ulimi lichafuu kutwa kunanga wenzake akiletwa humu kaingiaje…
 

Maneno yako yanaonesha una wivu na husda. Go get some medicine

Kama hajui kupiga mswaki we inakuhusu nini????
 
Ww umemalayawa na wangapi? baba ako,hawara yako,kaka ako au nani kwenye ukoo wenu kamlala. Acha kujiongezea midhambi v.....uzi weee. Muache mtt wa watu apumue

Haaaaaaaa Udambu sikuwezi
Pata coke yenye Nina lako pesa naja kulipa mie
 
Last edited by a moderator:
mmmmhhh watu jamani binamu una chuki na wema sana lllooohh
hana jema kwako eti...
 
Hakuna ndoa wala doa na director alimpa onyo kali kusingizia movie eti ndoa...
 
maneno yako inaonekana una bifu binafsi na mange..........

watanzania ni watu wa ajabu sana............



 
Tulichambw humu, majina yote tukaitwa ooh hayawi hayawi, mara wachawi wameumbuka, nashangaa sie wachawi bado tupo tuh ila malaika ndo wanaumbuka hadharan na ndoa fekero, watu wanapenda makubwa nyoo

Ile ni movie ana act na jb...asitudangaaanyeeeeee
Inaitwa sijui chungu cha tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…