Maneno yako yanaonesha una wivu na husda. Go get some medicine
Kama hajui kupiga mswaki we inakuhusu nini????
maneno yako inaonekana una bifu binafsi na mange..........
watanzania ni watu wa ajabu sana............
nyoo anavyoanika wenzie wachambwe deile mnaona poa eeh? sina bifu naye naichukia mitabia yake hapa najiachia kwa raha zangu yaelekea unampenda sana mie simpendiiiiii yes watanzania watu wa ajabu sana tukianza na huyo jini kisirani unamnanga mwnamke mjamzito kila leo ili iweje? yani silipendiii halafu uni wachee kama umebanwa pita hiviiii:alien:
Au zari white party ilimchanganya