Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini


jitoe fb
 
Last edited by a moderator:
Sasa si utumie simu nyingine au hiyo fb futa yanini kujichosha fb ishapitwa banaa ifuteee

Kwani mtu hawezi kunifungulia kwake akanipa password na username then mimi ni edit maana fb account ni ya biashara siwz kudelete
 
Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.

kwa maneno hayo hiy sio ndoa bali mkataba kufuta maumivu yaliyompata baada ya kumuacha ex wake na kujuta. na pia kuongea ----- kiundani akidhani ex atarudi kwa kumuonea huruma.

inabidi tujitayarishe kuona kideo cha kusema ameolewa yaani acting at its highest level...I hope atamlipa jamaa au kufata matakwa or ataumbuliwa...na tabia zake za kuchepuka aache pia....mkataba wengi wamefanya na mnyanyaso wanauona au wamepitia.


Diamond na Zari ni kiboko...yaani Chibu.
 
Angetulia tu na kuacha kushindana na Diamond, amezoea kupatapata ataweza kurudisha heshima kweli? inasikitisha kuwa angetulia tangu kujua D hakumjibu sms aliyojigonga angendlea kufanya yake na kutomweka kwenye in my viatu prog ili a move on, sasa amekaaa anamuweka akihope atarudi kumbe no,,,,then anaenda kuingilia ndoa ya dada wa Diamond sababu anafanya kazi na Petit...inasikitisha.

Huyo mwanaume asiyejiamini sio mwanaume bali amepangwa au amelipwa aje, kwani wema ana wanaume wangapi hadi waseme anajificha? kwani nani anamsumbua kutokanae...watunge maneno mengine hao choka mameneja wake...kweli wanatoa sababu za kipumba si bora kunyamaza kimya kuwa wadogo wadogo...

wema kweli umekwisha mwanamke....D wanasema umemuacha sababu ya babu sasa nini tena. tulia fanya yako kivyako sio kwa kupanikishwa na D.
 
Hakuna kama wema sepetu .
 
Wema ndiye aliyemuacha diamond kama ulikuwa hujui tena jaribu kuandika kitu ulichofanyia research .Ata diamond alishawahi kukili kwenye media kwamba wema ndiye aliyemuacha.
 
Kwani mtu hawezi kunifungulia kwake akanipa password na username then mimi ni edit maana fb account ni ya biashara siwz kudelete


Unahitaji nini Warumi sasa hivi nipo nje ya nchi internet laini haswa nikufanyie ukipata utabadilisha jina na passwords (yaani ya new e-mail na IG pia)...kama unataka IG sema...ni PM.

ila usinisahau kwenye vya kuchekesha napenda uso wangu uzidi kuonekana mdogo kama kawa.
 
Naona watu wananifolo sasa, sijui kwa nn wakat sijajitangaza
Njoo Ig uone wema alivyotupea yaani hakuna kama madam.Mtaongea sana yy kwake vitendo na cy maneno.karibu sana ig warumi.
 
Njoo Ig uone wema alivyotupea yaani hakuna kama madam.Mtaongea sana yy kwake vitendo na cy maneno.karibu sana ig warumi.

Ilijulikana lazima afanye kitu kabla ya Zari's White party( Mrs. Diamond) tarehe 1 May 2015, sababu bado anampenda Diamond. na wanampelekesha... na amefanya OMG

Duh anasikitisha....inauma kumbe kumuacha bwana na kuhonga eti kuolewa picha unarusha zako mwenyewe...na hauna mpinzani. Please she should take a break...she can't break the internet...she need to relax.
 
Hahahahahahaha wema hapendi diamond wala hana mawazo yakurudiana naye kwani siyo wema yule mjinga mjinga wa mapenzi.Ni wema mpya tena cyo maneno sasa kazi tu na wala cy hivyo mnavyodhani
 

muoneni huyuua anawewesekaaa
hhhhahaaaaaaa
 

Attachments

  • 1430239000543.jpg
    54.3 KB · Views: 414
Nimefnya hvyo ila naona wananifolo watu kibao

Naona hujausikiliza ushauri wangu au hujauelewa.Wakati wa kufungua a/c insta wanakupa options za kufungulia.
Wewe usichague ya kutumia fb details zako bali tumia email address yako ambayo usitumie yenye jina lako halisi, fungua email address fake kwanza.
Mbona rahisi tu binamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…