Farha
Senior Member
- Aug 22, 2014
- 173
- 81
Makombo matupu.
Hiyo ki2 hainaga makombo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makombo matupu.
hivi warumi huwa unapata wapi hizi habari? wewe ni ke au me?
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.
Naona wanajambisha watu uko insta utadhan ye ndo mwanamke wa kwanza kuolewa mxiuuui, namuonea huruma huyo jamaa kuoa kopo
Wala.Ni mkaka yuko vizuri utadhani mdada kabisa.Ni handsome kiukweli.
Nasikia nae pesa zipo nini...
Ndo wale wale tu, kuna mmoja yule anayempambiaga nyumba yake wakaibiana mabwana wacha watukanane na mama ubaya, na yeye anajua kabisa kuwa wana share
duh mwanaume kama mdada teh hayaWala.Ni mkaka yuko vizuri utadhani mdada kabisa.Ni handsome kiukweli.Nasikia nae pesa zipo nini...
Huyo dogie kujifanya anamjua wema, we ngoja nifungue account insta nitakavyompa vichambo vya haja mxiuuuuuuuu
Ivi nafunguaje bila kugundulika? Maana naogopa
YAni sitaki kabisa iusiane na account yangu ya fb,maana kila nikifungua naona facebook friends hao, mimi sitaki sijui unafanyaje msaada please Matola matumbo zavi chige Ruttashobolwa msaada wenu nataka kufungua account ya insta ila sitaki ihusiane na account yangu ya Facebook, nataka iwe separate yan ijitegemee maana kila nikifungua account naona Facebook friends inakuwa linked yan marafik zangu wa fb wanaona jina la account ya insta mimi sitaki sasa