MMh nimjulie wapi binamu ila si alisemaga kuwa hawezag kujificha akiwa na mpenzi huyu leo imekuwaje? Yani ma boyfriend anawatangaza hadharan halafu mume anafichwa mmh kazi ipo yetu macho
Hahahahahahaha wema hapendi diamond wala hana mawazo yakurudiana naye kwani siyo wema yule mjinga mjinga wa mapenzi.Ni wema mpya tena cyo maneno sasa kazi tu na wala cy hivyo mnavyodhani