Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Yaan wew ni kambea ..khe khe kheeeeeee
unaenda mwanza lakini? af sijaelewa ni party ya hanimuni au mna msiba make rangi nyeusi nayo mweh ha ha ha si mtakua kama kunguru huko ukumbini bora mngevaa hata njano ha ha ha
 
unaenda mwanza lakini? af sijaelewa ni party ya hanimuni au mna msiba make rangi nyeusi nayo mweh ha ha ha si mtakua kama kunguru huko ukumbini bora mngevaa hata njano ha ha ha

Naanzaje kukosa lablaa?? Na t shrt yangu ya wema sepetu.....na ticket ya ndege hahahahaaa ya bureee vip wew ulishapanda ndege??
 
unaenda mwanza lakini? af sijaelewa ni party ya hanimuni au mna msiba make rangi nyeusi nayo mweh ha ha ha si mtakua kama kunguru huko ukumbini bora mngevaa hata njano ha ha ha

Watu walioendaga ya juzi juzi mdada mmoja kaandika insta eti ji kama walikua mashabiki wawili plus timu yake na waliowapokea kumshadidia....leo watalazimisha kupiga picha na watu...

Ila ukiangalia hata kazi za haobwote wa timu mbele mbele hawana cha kuweka wazi....so ni wale wale na w kashakuwaga kama wao
 
Watu walioendaga ya juzi juzi mdada mmoja kaandika insta eti ji kama walikua mashabiki wawili plus timu yake na waliowapokea kumshadidia....leo watalazimisha kupiga picha na watu...Ila ukiangalia hata kazi za haobwote wa timu mbele mbele hawana cha kuweka wazi....so ni wale wale na w kashakuwaga kama wao
kama ile party ya arusha waliokua yeye aunt na kajala mi hata sikuona mashabiki ha ha ha kama wapo hawazidi 10
 
Naanzaje kukosa lablaa?? Na t shrt yangu ya wema sepetu.....na ticket ya ndege hahahahaaa ya bureee vip wew ulishapanda ndege??
ujikute tu unapanda ndege hata nauli ya bunda bus tu huna ha ha ha nkwambie kitu 90% ya team pwanya road ni product ya mulugo vidivishen five vya kutosha ndo maana hata hamjielewi mnachojua vitusi tu af vitusi hata havijaenda school ha ha ha
 
kama ile party ya arusha waliokua yeye aunt na kajala mi hata sikuona mashabiki ha ha ha kama wapo hawazidi 10

Hiyo nilisomaga mtandaoni walipata na wakuwapa raha huko...mmmh walikuwa na kazi. Kuchuma ndio ilikuwa namba one
 
Unajua maana ya director? Unajua angeathriwa vp na kazi yake? Yeye kama director ana haki zote za msingi kuongea anachotaka kwenye project inayomhusu, kwa hyo na wewe unafurahi alivyodanganya? Ili iweje sasa? Acheni ushabiki mavi

Asante!!!
Manaake imebidi tu nicheke kwa jinsi ambavo mnalazimisha jambo liwe kuuuubwaa while in really sense it is not that much!
Eti angeathiriwa vipi na kazi yake!!! Duh kwa hivyo vicrip vilivyokuwa vinawekwa na vile vipicha? How?

As a director natumain kuna agreement kwenye hiyo filamu, so kama inanadiwa divyo sivyo tena na mtu ambaye inamhusu......so hatua ya kwanza ni kukimbilia online na kuweka status?

Ndio maana nimemuuliza anajua maana ya director? Maana anaona anajiongelea tu anasahau kuwa hiyo kazi ni ya watu, watu wengine hawatakag kabisa kuambiwa kweli kisa wema mxiuuuu yani mijitu na midude yao inadanganywa ovyo mi hapana kwa kweli mxiuuuu

Binamu sistahili msonyo wako maybe utunze kwa ajili ya matumizi ya baadaye. Mimi na wewe hatuna uhakika kama hiyo filamu ipo au haipo naona ushajiaminisha kwamba kuna watu hawataki kuambiwa ukweli kuhusu Wema otherwise nami nitakwambia kuna watu hawataki kuona wengine wanaongea kinyume nao pindi tu Wema anapokuwa akisemwa.
 
Ndio maana nimemuuliza anajua maana ya director? Maana anaona anajiongelea tu anasahau kuwa hiyo kazi ni ya watu, watu wengine hawatakag kabisa kuambiwa kweli kisa wema mxiuuuu yani mijitu na midude yao inadanganywa ovyo mi hapana kwa kweli mxiuuuu

yaani hata ingekuwa yeye director angejisikiaje.wanazani movie ni kukaa dakika then dakika kuitengeneza bila kuwaza...si unajua tena yeye juu hakunazo so kila kitu kwake ni dezo dezo full kudowea

ila hana aibu gadi redioni alisema ameolewa ndio maana ya zile picha...

na Mwanza kumegoma kwake....duh

hao wadada wa india anaowasikiliza na wa hapa kazi zao ni nini? wanasemwaga wanananiiii yaani siamini amejishusha kihivyooooo kuwa nao karibu?
 
Back
Top Bottom