Abeid Apple
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 263
- 78
Dada huyoooo ameolewa na mahar ishatolewa, Bwana huyo kapata mke Bikira,na uwanja cijui uleule wa taifa au Emirate?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya nini hii? Sijaiona vizuri
Heaven on Earth binamu ata kualikana? Naona harusi ya shoga yako bab kubwa bibi harus peke yake
Ebu nieleweshe kwanza
Nimecheka jamani huko insta binam sii matusinhayoooo hhhhhaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka jamani huko insta binam sii matusinhayoooo hhhhhaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
ukumbi umebadilishwa au no pale pale uwanja wa taifa?
Nimecheka jamani huko insta binam sii matusinhayoooo hhhhhaaaaaa í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚
Nimecheka jamani huko insta binam sii matusinhayoooo hhhhhaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Ni director wa muviii aliyokua amevaa gauni la harusi wema...badala ya kutangaza muvii kaibadili location iwe yake sasa Director ameona nadhani kaenda mpaka kudanganya kwenye redio ndio kaamua kusema ukweli....kasema hapendi uongo
Nimeona umeshatagiwa kwenye picha zake insta...nenda anajibu na maswali....chezea kazi na udaku na vigodoroooooo...lol AIBU
AHahah jana nilitembeza dozi ya maana mxiuuu wanawaonea hao hao wajinga wenzao, aseh jana nilichamba yale matusi mpaka nikawa najiuliza ni mimi au, hahahah hapana chezeya jeshi la mtu mmoja