Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

hahahahaha yaani wa tanda... utawajua tu.wema hakusema kuwa anampenda kimapenzi na wala hakumtumia sms ya mapenzi alimtumia ya kumpa pole ya kuuguza kwani naye unajua nini maana ya kuuguza.Kwani mkiachana ndio hakuna salam wala jambo???? Au ndio IQ zenu zinafanana watu wa tanda....
team pwanya road kuna wakati mnatakiwa mueke ushabiki pembeni muongee FACT boss wako alikua na interview last week.EFM na gadna na bikra wa kisukuma akakiri anampenda dai hadi leo anasikiliza nyimbo zake kwny gari lake na akasema kuna siku kamtumia dai meseji dau hakumjibu usisahau pia aliwaambie nyie team pwanya road msimpangie cha kuandika.....
 
hahahahaha yaani wa tanda... utawajua tu.wema hakusema kuwa anampenda kimapenzi na wala hakumtumia sms ya mapenzi alimtumia ya kumpa pole ya kuuguza kwani naye unajua nini maana ya kuuguza.Kwani mkiachana ndio hakuna salam wala jambo???? Au ndio IQ zenu zinafanana watu wa tanda....

Mmh we nae kama unalipwa mxiuuuu
 
Ndo wale wale tu, kuna mmoja yule anayempambiaga nyumba yake wakaibiana mabwana wacha watukanane na mama ubaya, na yeye anajua kabisa kuwa wana share

yule James sijui... wa home decor..khaa na yeye ni swaga za ...the stylist?? basi wanaume kazi ya kupamba mtuachie
 
Eeh unamjua?? Mmh sikuwezi kwa umbea na wewe, wale wanapamba mpaka wanaume za watu
 
Mmh we nae kama unalipwa mxiuuuu
Kumbe na ww unavyomponda madam na kumpaka matope unalipwa????siwezi kukaa kimya wakati mnamchafua binti wa watu bure na wakati nyinyi wenyewe cv zenu chafu sana.Kila mtu kapewa K/M yake so kama vp tumieni na nyinyi vitu vyenu tuone kama mtamfikia wema sepetu kazi majungu tu na kumzushia maneno mwana wa mwenzenu.be wema fanya wema.
 
  • Thanks
Reactions: naa

Ehh umekunywa bia gani leo, ebu naomba ufute kwanza utumbo wako ukaandikie uko kwa boss wako mama ubaya au dogie masta ,apa hatutaki upuuzi na utumbo wenu mxiuuu!! Mama ubaya my foot, pelekeni uko maukimwi yenu nfyuu, kamfungulieni thread yenu uko muongee maushuzi yenu
 
Hahahahahahahahaha pole sana tena waambie waliokutuma umchafua wema nao wakapime halafu wajiangalie na cv zao kabla ya mchafua wema
Ehh umekunywa bia gani leo, ebu naomba ufute kwanza utumbo wako ukaandikie uko kwa boss wako mama ubaya au dogie masta ,apa hatutaki upuuzi na utumbo wenu mxiuuu!! Mama ubaya my foot, pelekeni uko maukimwi yenu nfyuu, kamfungulieni thread yenu uko muongee maushuzi yenu
 
hahahahaha yaani wa tanda... utawajua tu.wema hakusema kuwa anampenda kimapenzi na wala hakumtumia sms ya mapenzi alimtumia ya kumpa pole ya kuuguza kwani naye unajua nini maana ya kuuguza.Kwani mkiachana ndio hakuna salam wala jambo???? Au ndio IQ zenu zinafanana watu wa tanda....
team pwanya road acha kuusemea moyo wa boss wako anampenda na ndo maana anaskiza masongi kwa gari kila akihojiwa lazma amzungumzie kesho mtapwayaaa ZARI ALL WHITE PARTY naona na shela kaandaa hata akioga mjini haendi
 
Haaaaaahaaaa umeon eeeeh ka nyoka vile ata akiog mjin haend
 
Back
Top Bottom