kioju
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 804
- 271
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.
Mpapa ndo nini plz msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.
mambo ya pm sio bana, ajibu apa kila mtu ajue, maana huyu dogo utadhani anaishi chumba kimoja na wema, anazijua siri zake mpaka za moyoni
​Sasa kama wema kopo na huyo shemeji yetu zari si atakua debe kabisa au pipa ..nyani haoni kundule!!
Yaani hii ndio kazi inayomweka mjini binamu yetu. Upo mum, longtime.....
Kuna wanawake humu ndani ni wagawa papuchi wakubwa sema kwa vile hawako kwenye spotlight hawajulikani, ila wa kwanza kumlaani mwenzao, kweli watu humu ndani wamejaa stress na wivu!
Naona wanajambisha watu uko insta utadhan ye ndo mwanamke wa kwanza kuolewa mxiuuui, namuonea huruma huyo jamaa kuoa kopo
Yani kachemka mbaya!ila Wema nampenda ila hapa nae ametaka vya kiki na ka gauni ka bi harusi kabisa
apunguze aiseeeeee....... anaonekana bado anaweweseka na Dai
ila Wema nampenda ila hapa nae ametaka vya kiki na ka gauni ka bi harusi kabisa
apunguze aiseeeeee....... anaonekana bado anaweweseka na Dai
ha ha ha pole sana HOEila Wema nampenda ila hapa nae ametaka vya kiki na ka gauni ka bi harusi kabisaapunguze aiseeeeee....... anaonekana bado anaweweseka na Dai
Hiyo ni wema all white party...hivi aliandaaga black part nkaona tangazo IG iliyeyukia wapi hiyo partyMadai anazipa nguvu tetesi za warumi, kwa hiyo ningemwambia ana ukimwi angepiga picha na cheti? Mxiuuuu huu ushamba wa hali ya juu
Duh wanaume tuna kazi aisee yaani wema kweli?
Inahitaji uvumilivu maana kila kitu kwenye mwili wa wema kimesha deteriorate kuanzia papuchi etc.
Mcharuko kuanzia yeye mwenyewe hadi mama yake
team pwanya road kuna wakati mnatakiwa mueke ushabiki pembeni muongee FACT boss wako alikua na interview last week.EFM na gadna na bikra wa kisukuma akakiri anampenda dai hadi leo anasikiliza nyimbo zake kwny gari lake na akasema kuna siku kamtumia dai meseji dau hakumjibu usisahau pia aliwaambie nyie team pwanya road msimpangie cha kuandika.....Wema ndiye aliyemuacha diamond kama ulikuwa hujui tena jaribu kuandika kitu ulichofanyia research .Ata diamond alishawahi kukili kwenye media kwamba wema ndiye aliyemuacha.
team pwanya road kuna wakati mnatakiwa mueke ushabiki pembeni muongee FACT boss wako alikua na interview last week.EFM na gadna na bikra wa kisukuma akakiri anampenda dai hadi leo anasikiliza nyimbo zake kwny gari lake na akasema kuna siku kamtumia dai meseji dau hakumjibu usisahau pia aliwaambie nyie team pwanya road msimpangie cha kuandika.....