Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Zari kalala huku watumwa wakichakarika hahahahha, mondo utajuta kuwafaham waganda
sa ulitaka nae ashike mic aimbe???ha ha ha mjamzito huyo atakiwa kupumzika ujue ila hapo kamsindikiza baby.wake studio
 
Ehh umekunywa bia gani leo, ebu naomba ufute kwanza utumbo wako ukaandikie uko kwa boss wako mama ubaya au dogie masta ,apa hatutaki upuuzi na utumbo wenu mxiuuu!! Mama ubaya my foot, pelekeni uko maukimwi yenu nfyuu, kamfungulieni thread yenu uko muongee maushuzi yenu
timua na baruti huyo pwanya road ha ha ha
 
ha ha ha kumbe team pwanya road mnalipwa bila shaka haizidi buku tatu....mwayego mi silipwi make sina team labda niende lumumba nkawatetee CCM

Hii ni kazi....buku kwa kila post ya kumtetea kwa siku namtetea mara zaidi ya ishirin ni twent thousand.... heheheeeee ngoja niendeleee na kibarua changu shooo......
 
Haya oneni watu wanataka haribia kazi wengine, badala ya kutangaza filamu wanadai ni ndoa yao....

Kweli wizi mtupu huo

Inasikitisha sana kisa Diamond na Zari. Ndio mwanamke udakie kazi za watu kuita harusiii...mkome kumuitia kazi hana soko tafuteni wasanii wapya muwapaishe sasa...
 
Mumesikia Director hajafurahia muviii yake kuibiwa credit na Wema kudai ilikuwa ni ndoa yake...wakati ni kuvi na gari la director ndio lilikuwa linatumika kikazi.

Mpo?????
 
Haya oneni watu wanataka haribia kazi wengine, badala ya kutangaza filamu wanadai ni ndoa yao....

Kweli wizi mtupu huo

Inasikitisha sana kisa Diamond na Zari. Ndio mwanamke udakie kazi za watu kuita harusiii...mkome kumuitia kazi hana soko tafuteni wasanii wapya muwapaishe sasa...

Picha ya nini hii? Sijaiona vizuri
 
Back
Top Bottom