Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Wala.Ni mkaka yuko vizuri utadhani mdada kabisa.Ni handsome kiukweli.
Nasikia nae pesa zipo nini...

Ndo wale wale tu, kuna mmoja yule anayempambiaga nyumba yake wakaibiana mabwana wacha watukanane na mama ubaya, na yeye anajua kabisa kuwa wana share
 
Ndo wale wale tu, kuna mmoja yule anayempambiaga nyumba yake wakaibiana mabwana wacha watukanane na mama ubaya, na yeye anajua kabisa kuwa wana share

Hahahaaa ndio yule decor sijui nini? Dunia imeisha jamani kama tumefikia huku kwa wanawake na wanaume kugombea wanaume!
 
Ha ha ha ha ha ha uwiiii ataanxia wapi mbona huo msuto my wiii utakuwa wa funga mwaka

We hujui ile ndoa ya uwanja wa Taifa tuliroga ikabuma halaf ya safari hii tuendeko ohooooo warumi
 
Last edited by a moderator:
Huyo dogie kujifanya anamjua wema, we ngoja nifungue account insta nitakavyompa vichambo vya haja mxiuuuuuuuu

Simpendi dogy binam fungua tutakuja tu kukusaidia kutoa dozi
 

jitoe fb
 
Last edited by a moderator:

Sasa si utumie simu nyingine au hiyo fb futa yanini kujichosha fb ishapitwa banaa ifuteee
 
Last edited by a moderator:
Hongera zake jamani. Mi namuombea aolewe kweli jamani. Amepita magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…