Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

BMYmTVVhVkw



kitu gani hiki kamnunulia mkewe halafu una post kwenye mitandao
 
Caption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"

" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"

Mara

" Mme wangu najisikia kulia Leo "

Haaaahaaaahaaaa
 
Ndoa za mwendokasi wanaona raha watu kucheza kwaito na kuvaa Pete. Ndoa si ya kuikimbilia ukiwa hujajipanga
 
Duh kuna watu nimewavulia kofia kwa umbea. . . Eti ubuyu unamsakama....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee.. ubuyu wa motooo.. kweli shilawadu hawashindwi kitu.
 
Back
Top Bottom