shida ya mahaba kuyapeleka mtandaoni........Caption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"
" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"
Mara
" Mme wangu najisikia kulia Leo "
Hahahahahavizabizabina vijuso kuntu vimewashuka kwa umbea wa kufuatilia ndoa za wat wakat nyinyi wenyewe mnaishi kwa shangazi
Caption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"
" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"
Mara
" Mme wangu najisikia kulia Leo "
Huo ni wivu au nafurahia jinsi anavyopatwa na ndoa!acheni wivu
Na wanaomtakia mazuri wameshamuonya!shida ya mahaba kuyapeleka mtandaoni........
Kigari kibaya shida tushida ya mahaba kuyapeleka mtandaoni........
kitakataka gani hiki kamnunulia mkewe halafu una post kwenye mitandao
hapo ni junkyard? mbona gari zimebebana.
yeuwiiiiiiiiii auwiiiiiiii auwiiiiiiiiiiiieeeUuuuuwwwwwiiiiiu...... [emoji12]
Mmmhh huko insta kuna mamboCaption za Shamsa kila akijiselfie Insta ni" nakupenda Mme wangu"
" Mme wangu Leo utakula nini, najua unapenda mlenda"
Mara
" Mme wangu najisikia kulia Leo "
Gari gani?mbona hatujaona mnyoosho wa hiyo gari insta?Kanunuliwa gari mnalo?!!!
Wallah kanunuliwa na chidi niliona insta nenda kwa shamsaGari gani?mbona hatujaona mnyoosho wa hiyo gari insta?
Ila kiukweli bidada kapauka
Chidy Mapenzi ndo nani naye? Mbongo muvi au..?
Hahahah dah hilijibu sio la Nchi hii[emoji23]Wengine yetu ndo haya ya umbea, acha wewe ufanye yako
Ungeambatanisha na ka picha ingekolea zaidiAkati muda si mrefu chiddi amepost gar zuriiii amemnunulia Shamsa....sema wabongo huwa tunapenda mabaya yawatokee watu hadi kufikia kiwango cha kuyatunga hata kama hayapo